Warembo wanaoshindania miss Tabata 2014 wakiwa kwenye pozi wakati wa mazoezi ya shindano hilo na fainali itakalofanyika siku ya Ijumaa tarehe 06/06/ 2014. Mashindano haya ya Miss Tabata 2014 yatafanyika kwenye ukumbi wa Dar West Park. Mwalimu Pasilida Mandari anayewanoa warembo watakaochuana vikali kwenye shindano la Miss Tabata 2014 akizungumza na warembo hao wakati wa mazoezi. Warembo watakaochuana vikali kwenye …
ZuRii Boutique Kutoka Kivingine, Sehemu Mpya…!
Kwako mteja wetu wote wa ZuRii Boutique, Tarehe 30 May 2014 ndo itakuwa mwisho wetu pale tulipo kwa sasa Sinza Legho. ZuRii Boutique itahamia sehemu mpya na tutawajulisha tutakapo kuwa tayari. Asanteni sana kwa kuwa nasi katika kipindi chote tulicho kuwa pale. unakuja kivingine & trust me mtafurahi sana. Kaeni mkao wa kupendeza sana na ZuRii Boutique Mpya. …
Bwana Harusi wa Mbunge Atoroka na Michango ya Harusi
STAA wa Bongo Fleva na Mbunge wa Viti Maalum (CCM) anayewakilisha Vijana Mkoa wa Geita, Vicky Pascal Kamata akiwa na mchumba wake Charles Pai. Kwamba ile harusi ya the Century iliyokuwa ifanyike leo Kempisk Hotel baina ya Mbunge Maarufu wa Viti Maalum CCM, Vicky Kamata imepiga mwamba kutokana na ukweli kujulikana dakika ya mwisho jana kwamba Mchumba wake Mbunge ni …
Tanzania Movie Talents Yaingia Pwani, Sasa ni Dar na Moro
KARIBU UCHUKUE FOMU NI BUREEEEEEEEE….! Ni kuanzia Umri wa Miaka 14 na Kuendelea. UKUMBI NI MAKUMBUSHO YA TAIFA KARIBU NA CHUO CHA IFM KUANZIA SAA 2 ASUBUHI Kwa Mawasiliano Zaidi Piga 0658 700 400 0687 707 071 Au Tembelea Ukurasa Wetu wa Facebook: http://www.facebook.com/tztmt Instagram: @tmt_tz
Mashujaa Bendi Kufanya Ziara Mikoani
Na Mwandishi Wetu BENDI ya muziki wa dansi nchini Mashujaa, inatarajia kufanya ziara katika mikoa ya nchini nzima kwa ajili ya kutoa shukrani kwa mashabiki wao waliowapigia kura kwenye tuzo za Kilimanjaro Music Awards. Akizungumza Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa Mawasiliano wa bendi hiyo Maximillian Luhanga, alisema kuwa wamepata mafanikio makubwa kwa miaka miwili baada ya …
Proin Promotions Limited Yatuma Rambirambi Msiba wa Adam Kuambia
UONGOZI wa Kampuni ya Proin Promotions Limited na Timu nzima ya Kampuni ya Proin Promotions Limited ambao ni Waandaaji na waendeshaji wa Shindano la Tanzania Movie Talents tunapenda kutoa pole zetu za dhati kwa Wazazi wa Marehemu Adam P. Kuambia, Ndugu wa Marehemu, Jamaa, Marafiki kwa ujumla na Rais wa Klabu ya Bongo Movie, Ndugu Steve Nyerere kwa kuondokewa na …