Ngoma Africa band wawatia kiwewe mashabiki wake katika Challenge Festival Dortmund Ujeruman Juni 7,katika tamasha lililoandaliwa na umoja wa wakameruni waishio nchini Ujerumani. Si wengine bali ni bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU “Anunnaki alien” au watoto wa mbwa, walifanikiwa kutingisha jukwaa tena siku ya jumamosi 7 Juni 2014 mjini Dortmund,Ujerumani.katika onyesho la Challenge …
Sheria Ngowi Brand Proudly Official Designer of Diamond @MTV Mama
Being nominated in an internationally recognized award worldwide, is a sign of hardworking and thirst to achieve more. You are really flying our Tanzanian flag globally and yet paved the way for international attention indeed. Congratulations Diamond Platinumz, you have set a Benchmark. Keep up the good work. Deogracious Kessy- Head of Marketing #Sheria Ngowi Brand#
Mb Dog Kuachia Video ya Mbona Umenuna…!
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MWIMBAJI wa muziki wa kizazi kipya, Mbwana Mohamed, Mb Dog, amesema mashabiki wake wataanza kuona video ya wimbo wake wa Mbona Umenuna katika vituo vya luninga ndani ya wiki hii. Video hiyo iliyoandaliwa kwa kiwango cha juu iliingizwa katika mitandao ya kijamii, huku kwenye luninga ikianza kusambazwa wiki hii ili kuwapa burudani mashabiki wake. Akizungumza, Mb Dog alisema …
Sports Extra Day Bonanza la Jijini Arusha
Zenith Media Yatwaa Kombe la Sports Extra Day Bonanza kwa Jiji la Arusha. Timu ya Banana investiments ikisali kabla ya kuanza kwa mchezo. Huyu nae alikuwa aki #BRAZUCA katika mchezo wa Sports Xtra Day Jijini Arusha. Mbwiga mbwiguke the Captain wa Sports Xtra akiwapanga vijana wake. Huyu kijana nae alipata wasaa wa kuongea na Shaffih Dauda kuwa ana kipaji …
Mashujaa Bendi Yarudi Ukumbi wa Letasi Lounge
Na Mwandishi Wetu BENDI ya Mashujaa (Wana Kibega) leo itaanza rasmi kufanya maonesho yake kwenye Ukumbi wake wa zamani wa Letasi Lounge (Business Park) uliopo Kijitonyama Dar es Salaam, ambapo watakuwa wakifanya maonesho yao kila siku ya Ijumaa. Akizungumza Dar es Salaam jana Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Bendi hiyo Maximilian Luhanga, alisema kuwa wameamua kurejea katika ukumbi huo. Luhanga alisema …