Baadhi ya wageni mbalimbali na waandishi wa habari wanaohuduria tamasha la ZIFF 2014 linaloendelea kutimua vumbi visiwani Zanzibar. Na. Mwandishi wetu. BAADA ya kutoa demo katika mkutano wake na waandishi wa habari, mkali wa rege nchini Innocent Nganyagwa ameahidi kuporomosha muziki mzito katika ukumbi wa mambo klabu leo usiku. Katika demo ambapo alipiga verse ya gila, mkali huyo aliwataka …
Women with Altitude; Sinema Yenye Radha ya Shughuli…!
Mtanzania mmoja kati ya wawili walioshirikishwa katika filamu ya “Woman with Altitude” iliyoandaliwa na Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP), Ashura Kayupayupa (kulia), akizungumza na waandishi wa habari jana kwenye hoteli ya Doubletree by Hilton Zanzibar. Kushoto ni Mratibu wa Majaji wa tuzo za ZIFF 2014, Fabrizio Colombo na Katikati ni Afisa Habari wa Shirika la Umoja wa Mataifa …
Sauti Sol Walivyo Burudisha Katika Tamasha la ZIFF 2014
Na MOblog, Zanzibar MOJA ya vitu ambavyo Wazanzibari watakumbuka ni jinsi kundi la Kenya ambalo hivi karibuni liliibuka kundi bora katika MTV Base lilivyovamia jukwaa na kuendesha shoo ya saa moja na nusu iliyokuwa na uhakika. Kundi hilo lenye watu watano wakiongozwa na mtia sauti Bien Baraza liliwaacha hoi wazanzibari waliofurika katika ukumbi wa Mambo uliopo ndani ya Ngome Kongwe na …
Watatu Wakwea Pipa na Serengeti Premium Lager, Ni Promosheni ya Winda Safari ya Brazil
WASHINDI watatu wa promosheni ya ‘Winda Safari ya Brazil na Serengeti’ iliyokuwa ikiendeshwa na kampuni ya bia ya Serengeti hatimaye waliondoka wiki iliyopita kuiona Brazil ili kutimiza ndoto zao kwa kushuhudia live vivutio mbalimbali vinavyopatikana nchini humo. Promosheni hii ilianzishwa na kampuni ya bia ya Serengeti kwa lengo la kuwapa furaha wateja wao na kurudisha faida kwa wateja ambao ndio …
Hafla ya Uzinduzi wa Tamasha la 17 la ZIFF Zanzibar
Makamu wa Rais wa Pili wa Zanzibar, Balozi Sefu Ali Iddi akisalimiana na baadhi ya wageni alipowasili kwenye ufunguzi wa Tamasha la 17 la ZIFF Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya ZIFF Mh. Mahmoud Thabit Kombo.(Picha na Zainul Mzige wa MOblog). Mgeni rasmi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Sefu Ali Iddi akisalimiana na Mgeni maalum mwalikwa mwigizaji …