Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (wa pili kushoto), akizindua filamu mpya iitwayo ‘I Love Mwanza’ iliyoandaliwa na Lake Zone Youth Empowerment Foundation kwa kushirikiana na Tropical Media Tanzania Ltd, katika hafla iliyofanyika kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Jumapili Juni 22.2014. Wanaoshuhudia ni Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba (kulia), Rais wa Bongo Movie, …
Innocent Nyanyagwa Afunika Tamasha la ZIFF 2014
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar MKALI wa muziki wa rege nchini Innocent Nganyagwa anajiandaa kutoa filamu inayohusu maisha yake kama sehemu ya kufunza kizazi kijacho kuhusu muziki huo. Filamu hiyo ambayo itabeba maisha yake ya kuishi katika muziki wa rege inatolewa kama ile ya Jimmy Clief The hader they Come. Nganyagwa mwenye albamu nne na tuzo tano za hapa nyumbani alisema …
Proin Promotions Washerekea Hitimisho la Shindano la TMT
Wafanyakazi wa Kampuni ya Proin Promotions katika Mradi wa Kusaka vipaji vya Kuigiza Nchini TMT (Tanzania Movie Talents) wakishangilia kwa kufungua Mvinyo usio na kilevi mara baada ya kumaliza zoezi la Kuzunguka Katika Kanda Sita nchini kwa kusaka Vipaji vya kuigiza ambapo zoezi hilo lilimalizika katika Kanda ya Pwani, Mkoani Dar Es Salaam ambapo washindi watano kutoka kanda ya Pwani …
Mzungu Kichaa Kuwachizisha Wanatamasha la ZIFF 2014
Music Coordinator wa ZIFF, Edward Lusala akiwatambulisha wasanii watakaotumbuiza usiku wa leo kwenye tamasha la 17 la ZIFF 2014 ndani ya viunga vya Mambo Club – Ngome Kongwe visiwani Zanzibar wakati wa mkutano na waandishi wa habari. Katikati ni msanii wa muziki nchini almaarufu kama Mzungu Kichaa na Kulia ni Msanii Grace Matata.(Picha zote na Zainul Mzige wa MOblog). Msanii …
Bondia ‘Dula Mbabe’ Kuzipiga Vunja Jungu
BONDIA machachari wa ngumi za kulipwa nchini Abdallah Paziwapazi a.k.a ‘Kiroba’ au kama anavyojulikana na wengi ‘Dula Mbabe’ anatarajiwa kupanda ulingoni Juni 29, 2014 katika Ukumbi wa CCM Mwinjuma, Mwananyamala jijini Dar es Salaam kuzipiga na Hamis Juma ambaye ameonekana mbadala wa bondia Maneno Osward. Mpambano huo ambao utakuwa wa vunja jungu yaani wa kukaribisha mwezi mtukufu wa ramadhani, utaambatana na …
Shamra Shamra za Mashindano ya Ngalawa Katika ZIFF 2014
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar NGALAWA zote 11 zilizoingia majini kukamilisha mzunguko wa saa mbili wa resi za ngalawa mjini Zanzibar zilimarisha mashamshamu hayo bila najali na timu tatu zilipewa zawadi za ushindi. Resi za Ngalawa kama zinavyojulikana ni utamaduni halisi wa visiwa vya pemba na Unguja na ni sehemu ya tamasha kubwa la filamu la kimataifa la Zanzibar ambalo linaendelea …