Mwanamichezo kutoka nchini Ufaransa SeanGarnier (katikati) ambaye yuko nchini Tanzania kwa ziara maalum ya kimichezo akifafanua machache mbele ya waandishi wa habari mara baada ya kutambulishwa. Pembeni yake kulia ni Meneja Masoko wa Kampuni ya Mohn’s John Ntuli na Mkurugenzi wa Masoko Kampuni ya Mohan’s VijayJoshi. Mwanamichezo kutoka nchini Ufaransa Sean Garnier (katikati) ambaye yuko nchini Tanzania kwa ziara maalum ya kimichezo akifafanua machache mbele ya waandishi …
Wanamichezo Waahidi Medali Mashindano ya Olympic
Na Frank Shija, WHVUM WANAMICHEZO waahidi kuleta medali katika mashindano ya Olympic yanayotarajia kuanza Julai 23 jijini Glasgow Scotland. Akizungumza mara baada ya kuwasili nchini jana wakitokea Ethiopia Kocha wa Timu ya Riadha aliyeambatana na wachezaji 8 Bw. Shaban Hiiti alisema kuwa ana imani kubwa na wachezaji wake walioteuliwa katika Timu ya Taifa kuwa watailetea heshima Taifa kwa kuwa mazoezi …
20 Waingia Jumba la Tanzania Movie Talents
codes Muonekano wa TMT House ambayo washiriki 20 wa Shindano la Tanzania Movie Talents wameweka kambi rasmi kuanzia jana Usiku kwa mchakato wa kuwania Milioni 50 katika fainali itakayofanyika Mwishoni mwa Mwezi wa nane Mmoja kati ya Washindi watatu kutoka Kanda ya Kusini, Mwanaafa Mwizago akiingia rasmi kambini hapo jana wakati wakitokea kwenye matembezi. Washiriki wote 20 ambao ni washindi …
Washiriki wa Fainali za TMT Watembelea Global Publishers Limited
Washiriki wa fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) ambao ni washindi wa TMT kutoka kanda sita za Tanzania wakisikiliza maelezo kwa makini kutoka kwa Mmoja wa Wafanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers Limited (hayupo pichani) Mmoja wa washiriki wa fainali wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) ambae pia ni mshindi kutoka kanda ya Kati Mkoa wa …
Bongo Movie Wapinga Siasa Kuhusishwa na ‘I Love Mwanza’
Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere (katikati) akitoa taarifa ya uzinduzi wa filamu ya “I Love Mwanza” kujihusisha na masuala ya kisiasa. Kuanzia kushoto kwa Nyerere ni Sabrina Lupia (Cathy) , Katibu wa TAFF mkoa wa Mwanza, Hussein Kimu na kulia kwa Nyerere ni Rais wa Wasanii wa Filamu Mkoa wa Mwanza, Anitha Rwezaura, Wastara Juma na Salama “Sandra” Salimin. …
Filamu ya Espinho da Rosa Yatwaa Tuzo Nne
Na Mwandishi wetu, Zanzibar FILAMU ya Espinho da Rosa (the Thorn of the rose) ya Filipe Henriques kutoka Guinea Bissau imeondoka na tuzo tatu katika tamasha la 17 la filamu la kimataifa la Zanzibar (ZIFF). Tuzo hizo ni pamoja na ya Signis , tuzo ya majaji na tuzo ya fedha ya ZIFF. Katika tamasha hilo filamu iliyotwaa tuzo ya …