You recently saw these two images of her posing as the model she is….BUT… Don’t take yourself too serious…play and laugh most times…. Model: Christine Makeup: Ndibs Edna Styling: Marie of Missie Popular Photography: AZH Photography xoxo
Jhikoman Atembelea Shule ya Muziki Ujerumani
Tubingen, Ujerumani MWANAMUZIKI maarufu wa Reggae barani Afrika Jhikoman ambaye yupo ziara ya kikazi barani Ulaya, juzi aliwasili katika Mji wa Tubingen, Ujerumani kwa ajili ya kushiriki katika maoneso makubwa ‘5th International African Festival Tubingen 2014’, ambako amealikwa na shirika la AfrikaktivOrg. Jhikoman amelamba deal la mkataba wa kudumu wa kutumbuiza katika onesho hilo, pia amepata nafasi ya kualikwa pamoja …
JK Kuwanoa Wasanii Bongo, Afanikisha Mafunzo kwa Wasanii
AHADI ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete kwa wasanii wa Tanzania kuwa atachangia kuinua kiwango cha ujuzi na weledi wao kwa kuwaandalia mafunzo yatayoendeshwa na magwiji wa sanaa kutoka Marekani sasa imetimia. Akizindua Kampeni ya Uzalendo kwa Vijana inayoendeshwa na Muungano wa Wasanii Tanzania kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma mwezi uliopita, Juni 14, 2014, Rais …
Bongo Movie Wafuturisha Wasanii na Wadau Wake Dar
Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere akizungumza machache wakati wa hafla aliyowakaribisha chakula cha jioni wasanii wa Filamu na wadau mbalimbali wa filamu Bongo ikiwa ni kuungana na wenzao waliokatika mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Hafla hiyo ilifanyika ndani ya Great Wall Restaurant iliyopo Osterbay jijini Dar esa Salaam. Wageni waalikwa wakisikiliza kwa makini maneno yaliyokuwa yakitolewa na Rais wa …