Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akipokelewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA), Dkt. Herbet wakati alipowasili katika taasisi hiyo kuzindua vitendea kazi 4 Aprili, 2017 Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani.
Tamasha la Muziki Karibu Latangaza Nafasi za Ushiriki kwa Wasanii
UONGOZI wa Tamasha la muziki la Karibu wakishirikiana na Legendary Music Entertainment wametangaza nafasi kwa wasanii wa muziki na vikundi mbalimbali vya muziki kuomba nafasi za kutumbuiza kwenye tamasha la 4 kwenye uwanja wa Mwanakalenge, Bagamoyo Tamasha hilo lenye hadhi ya kimataifa litakua la siku tatu mfululizo litakalofanyika tarehe 3-5 Novemba mwaka huu. Watumbuizaji katika tamasha hili ni wasanii wa …
Mlima Kilimanjaro ‘Amuangukia’ Waziri Dk. Mwakyembe
Gaudence Lekule akipanda mlima Kilimanjaro huku akikimbia wakati akiweka rekodi baada ya kutumia muda wa saa 8:36 mapema mwaka huu. Lekule akifurahia mara baada ya kufanikiwa kuweka ekodi ya kutumia muda wa saa 8:36 kupanda Mlima Kilimajaro na kushuka. MTANZANIA ,Gaudence Lekule (31) anayeshiriki michezo ya kupanda milima kwa kasi (Mountain Run) amemuomba Waziri mpya wa Habari,Utamaduni Sanaa na Michezo, …
DC Gondwe Asapoti Vijana Kwenye Uchumi Cup
Sehemu ya vifaa vya michezo vilivyokabidhiwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe.
Rais JPM Aukubali Wimbo wa Nay wa Mitego, Basata Yaaibika
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameagiza kuachiwa huru kwa Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya, Emmanuel Elibariki maarufu kama Ney wa Mitego (pichani) na wimbo wake kuruhusiwa kupigwa katika vyombo vyote vya Redio na Televisheni. Wimbo huo unaojulikana kwa jina la “Wapo” ulikuwa tayari umefungiwa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) mapema leo …
Mwanahabari George Binagi na Pendo Kisaka Kuuaga Ukapera
MWANAHABARI wa Redio ya Lake FM ya mkoani Mwanza na mwanablogu wa mtandao wa Binagi Media Group, George Binagi (kulia) pamoja na Miss Pendo Kisaka (kushoto), wanatarajiwa kufunga pingu za maisha March 26,2017. Wapendanao hao wanafunga ndoa hii leo March 26,2017 majira ya saa nane mchana katika Kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo Sabasaba Ilemela Jijini Mwanza chini ya …