Hoyce Temu Ahamasisha Kupigiwa Kura Miss Tanzania USA, 2014

Pichani ni  Miss Tanzania USA 2014, Joy Kalemera katika pozi kabla ya mahojiano na Mtangazaji wa kipindi cha “Mimi na Tanzania” Hoyce Temu nchin Marekani. Mpigie Kura Miss Tanzania USA, Joy Kalemera anayeshiriki kinyang’ayiro cha kumtafuta Miss Africa USA. Mtangazaji wa Mimi Na Tanzania Hoyce Temu ambaye pia ni Miss Tanzania 1999 yupo nchini Marekani na amefanya mahojiano na mrembo huyo. Usikose …

TRA Yataka Ushirikiano Kudhibiti Uharamia wa Filamu na Muziki

Na Genofeva Matemu – Ofisa Mawasiliano Serikalini WHVUM MKURUGENZI Sera na Utafiti kutoka TRA, Tonedeus Muganyizi amevitaka vyombo vya udhibiti vya kiserikali kufanya kazi kwa pamoja na TRA katika kusimamia sheria na kanuni za usambazaji na uuzaji wa kazi za Filamu na muziki nchini. Rai hiyo jana jijini Dar es Salaam wakati wa kikao kilichowahusisha wafanyabiashara wanaosambaza kazi za filamu …

Jhikoman Atisha Onesho la ‘5th International African Festival’

MFALME wa muziki wa reggae barani Afrika, Jhikoman amefanikiwa kufunika kwa kishindo katika maonesho ya 5th International African festival Tubingen, yaliyofanyika Jumapili ya Julai 20, 2014 mjini Tubingen, Ujerumani. Katika onesho hilo mwanamuziki Jhikoman kwa sasa ndiye nyota inayong’aa kutoka Afrika kwenye muziki wa reggae na aliudhihirishia ulimwengu kuwa Tanzania ni moto wa kuotea mbali kimuziki, huku akishagiliwa na umati wa washabiki waliofika …

TMT; Nani Kuchomwa na Jua la Utosi Wiki Hii

ILI KUWANUSURU AU KUMNUSURU MSHIRIKI UMPENDAE AENDELEE KUWEPO NDANI YA NYUMBA YA TMT UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KUMPIGIA KURA KWA WINGI SANA. JINSI YA KUPIGA KURA NI ANDIKA NENO “TMT” ikifuatiwa na namba yake ya ushiriki halafu tuma kwenda 15678. Mfano TMT00 tuma kwenda 15678. BOFYA HAPA KUONA PICHA ZA WASHIRIKI WENGINE NA NAMBA ZAO»