Divas wa Skylight Band Aneth Kushaba (wa kwanza kushoto) na Digna Mpera(wa pili toka kushoto) wakilianzisha Burudani kwa nguvu zoteee ndani ya Thai Village masaki. Kila Ijumaa Bendi yako mahiri na isiyoshikika Skylight Band wanakuwa Thai Village wakikupa burudani ya nguvuuuu na suprizeee kibaooooo,Usikose Ijumaa Hii. Divas wa Skylight Band Aneth Kushaba (wa kwanza kushoto) na Digna Mpera(wa pili toka …
Mustafa Hassanali to Mark 15th Anniversary
“Meremeta na Hassanali” Couture Collection to be Launched ON Sunday 10Th August, will mark the 15 th Anniversary celebration of Tanzania renowned Pan African designer Mustafa Hassanali. An exclusive by invitation only niche event will be held, whereby Mustafa Hassanali will launch his Couture collection aptly named “Meremeta Na Hassanali” “I can’t believe how time flies by so fast, …
Washiriki Wawili Shindano la TMT Waaga Mashindano
Waendeshaji wa Show ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) Joti na Lulu wakiwa kwa steji, tayari kwa kuendelea na show hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Mkaumbusho ya Taifa Jijini Dar Es Salaam. Mshiriki Ally Kiwendo ambae alikuwa ni mmoja kati ya washindi watatu kutoka kanda ya Kusini mkoani Mtwara akitoa maneno ya shukrani kwa Kampuni ya Proin Promoitons ambao …
Pilipili, Omondi na Anne Kansiime Jukwaa Moja Augost 2
Onyesho la Uchekeshaji linalowakutanisha wasanii wa tasnia hiyo kutoka nchi za Jumuhia ya Afrika mashariki Tanzania, Kenya na Ugana linatarajiwa kufanyika Jumamosi hii katika Ukumbi wa Golden Tulip Jijini Dar es salaam, Wasanii hao ambao ni kivutio kwa mashabiki katika ukanda huu wa Afrika ya Mashariki wamewasili nchini na kupokewa na mashabiki pamoja na wenyeji wao. Akiongea mchekeshaji Anne Kansiime …