Mtanzania DABO Atajwa Kuwania Tuzo za Reggae Kimataifa

Inawezekana ukawa humfahamu mwanamziki huyu kwa vile hana kelele nyingi…lakini ONESHA UZALENDO KWA KUMPIGIA KURA SASA ili awe kushinda nafasi ya Msanii Bora wa Muziki wa Reggae Tanzania. DABO (Pichani) amepata nafasi ya kuipeperusha bendera ya Tanzania katika anga za kimataifa, baada ya kuchaguliwa kuwania tuzo kubwa kabisa za reggae za kimataifa na muziki wa dunia 2014 (International Reggae and World …

Je, Jennifer Hudson ni “Lesbian” ?

Jennifer Hudson ni mwimbaji na mwigizaji mashuhuri na kama unakumbuka aliimba wimbo ambao wengi wetu tunaukumbuka “And I’m Telling You” kwenye movie ya Dreamgirls , hivi karibuni kumekuwa na tetesi kuwa inawezekana yeye ni “lesbian” habari kutoka PriceSource zinasema tetesi zimetokana na show ya wimbo wa “same love” alioimba na Macklemore pamoja na Mary Lambert kwenye 2013 MTV Video Music …

Mashindano ya Kukuna Nazi kwa Akinababa, Bonanza la Toyota Tanzania

 Wafanyakazi wanaume wa Kampuni ya Toyota Tanzania, wakishindana kukuna Nazi wakati wa Bonanza maalumu la kuwapongeza wafanyakazi lililoandaliwa na Kampuni hiyo lililofanyika kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam, juzi Agosti 23, 2014. Katika Bonanza hilo timu ya Rav 4 iliibuka mshindi wa jumla katika michezo yote iliyochezwa ikifuatiwa na timu ya Hilux, VX na Prado. Picha zote na www.sufianimafoto.com    Mkurugenzi …