Tamasha la Handeni Kwetu Kufanyika Desemba 13
Na Mwandishi Wetu, Dar TAMASHA kubwa la umataduni linalojulikana kama ‘Handeni Kwetu’ limepangwa kufanyika Desemba 13 mwaka huu, katika Uwanja wa Azimio, wilayani Handeni, mkoani Tanga. Katika tamasha hilo linalofanyika kwa mara pili, burudani mbalimbali za ngoma za asili zinatarajiwa kuonekana jukwaani, ambapo pia vikundi kutoka nje ya Handeni, mkoani Tanga navyo vitaalikwa kwa ajili ya kwenda kutoa burudani wilayani …
Mashabiki Wamfanyia Fujo Diamond, Ma DJ’s Wake Wapigwa
MSANII nyota wa muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Nasib Abdul aka Diamond Platnumz juzi (Agosti 30, 2014) alijikuta akiokolewa na polisi wa nchini Ujerumani asile kichapo toka kwa mashabiki wenye hasira kwenye ‘show’ yake baada ya kuwaudhi mashabiki hao. Katika onesho hilo Diamond lililofanyika mjini Stuttgart, Ujerumani, mashabiki waliokuwa na hasira walikerwa na kitendo cha wao kumsubiri msanii huyo tangu …
Waziri Pinda Afunga Michezo ya Majeshi Afrika Mashariki
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema majeshi ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki hayana budi kuendeleza umoja na mshikamano ili kukuza udugu uliopo. Ametoa kauli Agosti 29, 2014 wakati akifunga mashindano ya Michezo ya Majeshi ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwenye Uwanja wa Amaan, mjini Zanzibar. Waziri Mkuu ambaye kabla ya kuhutubia umati ulioshiriki …
Aliyekuja Dar na Mfuko wa Rambo Aibuka na Milioni 50…!
Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin, Bw Johnson Lukaza akitoa neno kwa wadau waliojitokeza kushuhudia fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) lililokuwa pia likirushwa live kupitia Kituo Cha Runinga cha ITV Mwanaafa Mwinzago (katikati) akishangilia Mara baada ya kutangazwa Mshindi wa Kitita Cha Milioni 50 za Kitanzania katika Fainali ya Kumsaka Mshindi wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) …