Fujo za Mashabiki wa Diamond Zasababisha Hasara ya Mil. 600

*Promota wa onesho hilo, Awin Williams Matatani FUJO zilizofanywa nchini Ujerumani na mashabiki na wapenzi wa msanii nyota wa muziki wa bongo fleva kutoka Tanzania, Nasib Abdul a.k.a Diamond Platinumz baada ya yeye kuchelewa kuingia ukumbini imegudulika zimesababisha hasara ya Euro 300,000 ikiwa ni takribani shilingi milioni 600 za Kitanzania. Hasara hiyo imetokana na baadhi ya mashabiki kufanya fujo Agosti …

Madaraka Nyerere, Vitali Maembe Kukwea Mlima Kilimanjaro

Afisa Habari wa shirika lisilo la kiserikali la Culture and Development East Africa (CDEA), Mandolin Kahindi akitambulisha viongozi wa CDEA kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) pamoja na dhumuni la kuitisha mkutano huo. Na Mwandishi Wetu Madaraka Nyerere, Mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Julius Nyerere, pamoja na Mwanamuziki Mzalendo Vitali Maembe wameteuliwa na shirika lisilo la kiserikali Culture and …

Bondia Maarufu wa Kike Kuzichapa Septemba 26 Ujerumani

BONDIA maarufu wa kike Mwafrika barani Ulaya, Bintou Yawa Schmill a.k.a “The Voice” anatarajiwa kupanda ulingoni Septemba 26, 2014 kupambana na bondia Mirjana Vujic katika ukumbi wa Stadthalle/ Saalbau Frankfurt-Nied, Mjini Frankfurt ujerumani. Bintou Yawa Schmill “The Voice” mzaliwa wa Togo ambaye anapigania uzito wa Welterweight – 64, urefu mita 1.71 historia yake alikuwa bondia wa ngumi za ridhaa kwa muda miaka mitano, kuanzia mwaka …

Kukata Viuno ‘Hadharani’ Marufuku Nchini Misri

BODI ya Kidini ya Misri, imetoa tamko la kukataza uoneshaji wa kipindi kilichoanzishwa kwenye Televesheni nchini humo kuonesha michezo ya jadi ya wanawake wa misri kukata viuno (kunengua)almaarufu ‘belly dance’. Ngoma hiyo inayofanana na chakacha ya waswahili ilianza kuchezwa tangu zama za kale na imenakiliwa hata katika enzi za ma-pharoah nchini Misri. Ni densi ambayo isingekosekana kwenye sherehe muhimu. Harusi …

Ukweli wa Vurugu ‘Show’ ya Diamond Ujerumani…!

UKWELI wa show ya mwanamuziki nyota wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kuvurugika na msanii huyo kunusurika kula kichapo mjini Stuttgart Ujerumani umewekwa wazi na muandaaji wa onesho hilo, Awin Williams Akpomiemie raia wa Nigeria. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Williams Akpomiemie ambaye ni mmiliki wa kampuni ya Britts inayofanya kazi zake mjini Stuttgart Ujerumani amesema kuvurugika show hiyo kulisababishwa …