Hukumu ya Oscar Pistorius Mambo Yapamba Moto…!

JAJI anayetoa uamuzi katika kesi ya mauaji inayomkabili Oscar Pistorius, amesema upande wa mashitaka umekosa kuthibitishia kikamilifu shitaka kuu la kwanza dhidi ya Pistorius kuwa alikusudia kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp. Hata hivyo jaji huyo Thokozile Masipa amepinga ushahidi wa upande wa utetezi kwamba mwanariadha huyo hakunuia kutenda uhalifu alipomuua mpenzi wake Reeva. Pistorius alikiri kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp …

Mambo ya Serge Ibaka na Keri Hilson

Mchezaji wa kikapu wa NBA kutoka Congo Serge Ibaka akiwa na mwanamuziki mashuhuri wa Marekani Keri Hilson. Hawa jamaa wamekuwa wachumba kwa muda sasa na mambo bado yanaendelea kupamba moto. Jionee picha zinajieleza zenyewe…

Kampuni ya CFAO Motors Yaonesha ‘Live’ Mashindano ya Formula One

  Na Mwandishi Wetu JUMAPILI wakati kiwanja cha mbio za magari za Formula One cha Monza Italia kinawaka moto, wapenzi wa mchezo huo jijini Dare s Salaam walipata uhondo wa kuona  mkali wa injini na udereva, katika skrini kubwa iliyowekwa makao makuu ya CFAO  Motors Tanzania, Barabara ya Nyerere, Dare s Salaam. Katika hekaheka hiyo iliyochukua takribani saa moja na …