Benjamin Sawe, Bagamoyo TAASISI ya Sanaa Bagamoyo imeaswa kuendelea kutoa mafunzo ya sanaa na utamaduni ambayo yatakidhi mahitaji ya soko kwa nchi za Afrika Mashariki. Hayo yamesemwa na Makongoro Nyerere kwa niaba ya Spika wa Bunge la Afrika Mashariki, Margaret Ntantongo Zziwa katika Ufunguzi wa Tamasha la 33 la sanaa na utamaduni wa Mtanzania lililofanyika katika Taasisi hiyo …
Msafiri Diof wa Twanga Pepeta Avunja Mayai Jukwaani
RAPA nyota na mwimbaji wa muziki wa dansi, Msafiri Diof ambaye kwa sasa amerudi katika Bendi ya Twanga Pepeta juzi aliwashangaza mashabiki wa bendi hiyo baada kupanda jukwaani na kuvunja mayai mawili mbele ya jukwaa akidai ni ishara ya kujikinga na nuksi zozote baada ya kurejea tena kwenye bendi hiyo. Diof alifanya vituko hivyo juzi wakati akitambulishwa rasmi na bendi …
Warembo Miss Tanzania 2014 Waingia Kambini Dar
WANYANGE 30 wanao wanbia taji la Redd’s Miss Tanzania 2014 wameingia kambini tayari kwa safari ya fainali za Miss Tanzania 2014 zitakazo fanyikia mapema mwezi Oktoba jiji Dar es Salaam. Warembo hao waliowasdili kwa muda tofauti kuanzaia saa 12 alfajiri ya leo na kupokelewa na waandaaji wa Miss Tanzania katika hoteli ya JB Belmont iliyopo katikati ya jiji la maraha …