Tano bora ilikuwa hii Ommy Dimpoz akiwa kwenye red carpet Msami akitoa burudani ya nguvu ndani ya Maisha club jijini Dar Mambo yalikuwa hivyo kwa baadhi ya washiriki Mardha John akifanya vitu vyake Huyu ni balaaaa Elizabeth Eliud akikizungusha kiuno chake Dorice Molel akifanya ya kwake kwenye stage Kwa Naomi Kisaka ilikuwa ni shidaaaaaa Huyu alikuja kiivi Sabina Thomas alitoka …
Twanga Pepeta Watumbuiza Maisha Club Dar
Kiongozi na mwimbaji wa bendi ya ‘Twanga Pepeta, Luiza Mbutu akiimba moja ya nyimbo zao kwenye shoo hiyo iliyofanyika club maisha jijini Dar. Mwimbaji wa bendi ya ‘Twanga Pepeta, Msafiri Diouf akitoa burudani ya nguvu kwenye shoo iliyofanyika club maisha jijini dar. Wacheza shoo wa Twanga Pepeta wakifanya ya kwao kwenye club ya Maisha jijini Dar.
Washiriki Shindano la Mashujaa wa Kesho Waanza Kurejesha Fomu
Na Mwandishi Wetu ZOEZI la uchukuaji fomu kwa ajili ya vijana mbalimbali kushiriki katika Shindano la Mashujaa wa Kesho la Statoil limeendelea kushika kasi huku idadi kubwa ya vijana wakiendelea kurejesha fomu kwa lengo la kushiriki katika kinyang’anyiro hicho. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, Ofisa Mawasiliano wa Statoil Tanzania, Erick Mchome alisema hadi sasa zaidi ya vijana 150 wamerejesha …
Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi, Uhakika wa Chakula…!
Jenerali Ulimwenguambaye ndiye mwezeshaji akiendelea kutoa Mwongozo katika mkutano wa siku mbili juu ya mabadiliko ya Tabianchi, uhakika wa Chakula na haki za Ardhi mkutano ulioandaliwa na Oxfam pamoja na Forum CC Robert Muthami Program Support Officer kutoka Pan African Climate Justice Alliance (PACJA) akitoa ufafanuzi juu ya baadhi ya mambo yanayohusu mabadiliko ya Tabianchi. Meza ya Majaji wakiwa wanasikiliza …
Band ya Skylight Yaendelea Kutingisha Dar…!
Skylight Band Divas Mary Lukos(Wa kwanza Kushoto) Aneth Kushaba(katikati) Na Digna Mpera (Wa kwanza Kulia) wakitoa burudani ya nguvu Kwa Mashabiki Wao Ndani ya Kijiji cha Maraha Thai Village Ijumaa Iliyopita.Kila Ijumaa ya mwisho wa wiki Band Ya Skylight Wanapiga show Ndani ya Thai Village.Karibu Leo Upate burrudani ya nguvu yenye kukonga Roho yako na kutakuwa na Supriseeeeeee kibaoooo ndani …