Na Mwandishi Wetu MSANII wa Bongofleva anayetamba na kibao cha ‘Njenje’ Gilbert Paul maarufu kama ‘NILLAN’ (pichani kulia) ameponda kitendo kilichofanywa na msanii mkubwa katika tasnia hiyo Zuwena Yusufu ‘Shilole’ cha kuharibu Show iliyotarajiwa kufanyika mkesha wa siku ya mkesha wa Pasaka na hivyo kusababisha hasara kwa promota. Nillan aliyetarajiwa kufanya show siku pamoja na msanii mwingine Nuhu Mziwanda alisema …
Harusi ya John Focus na Bi. Bernadetha Munishi Ilivyofana
Bwana harusi, John Focus Lyimo (wa pili kushoto) akimtambulisha mkewe Bi. Bernadetha Munishi (wa pili kulia) kwa wageni waalikwa kwenye hafla kabambe ya harusi yao iliyofanyika Ukumbi wa ‘Mwenge Social Hall’ jana jijini Dar es Salaam. Waliokaa ni wapambe wa maharusi.
Shirika la USAID wazindua filamu ya TUNU
shirika la watu wa marekani USAID limezindua filamu ya TUNU ambayo ni Kiswahili ikiwan imechezwa na waigizaji wa kitanzania, huku ikiwa na lengo la kuleta ujumbe muhimu na wa kipekee katika vipaumbele vilivyoko nchini Tanzania. Uzinduzi huo umefanyika katika ukumbumbi wa sinema wa suncrest Cineplex Cinema uliopo Quality Center jijini Dar es salaam ambapo kuliudhuriwa na wageni mbalimbali. vilamu …
Mwimbaji Jimmy Gospian Ashinda Tuzo ya Zaburi Awards 2016/17 Kanda ya Ziwa
GOSPIAN kutoka ngome ya BMG, aliibuka mshindi katika kipengere cha Mwimbaji Bora Chipukizi wa Kiume ambapo washindi wa tuzo hizo walipatikana kwa wingi wa kura za mashabiki. Washindi wengine kwenye tuzo hizo ni; Kwaya Bora-Mwanza Singers, Albamu Bora-Pokea Sifa ya Rebeka Pius, Mwimbaji Bora wa Kike-Betty Lucas, Mwimbaji Bora wa Kiume-Derick Ndonge, Mwimbaji Bora Chipukizi wa Kike-Julieth Busagi, Kundi Bora-Kihayile …
DC Asema Mazoezi Yanajenga Uchumi Imara wa Nchi
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela akicheza Mpira wa kikapu kuashiria kuwa anapenda Mpira wa kikapu. Na Fredy Mgunda, Iringa MKUU wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela aliwaomba wananchi kuendelea kufanya mazoezi kwa ajili ya kuimalisha afya zao pamoja kuujenga uchumi wa nchi hii. Tukiendelea kufanya mazoezi tutapunguza sana kupata magonjwa mbalimbali kwa kuwa tuna kuwa tunaimalisha afya na kujenga miili …
Hatimaye Miss Tanzania Akabidhiwa Zawadi yake…!
Katibu Mkuu wa Kamati ya Miss Tanzania, Bosco Majaliwa (kulia) akimkabidhi fedha taslim kiasi cha Sh. Milioni mbili (2Mil.), Mrembo mwenye taji wa Tanzania kwa Mwaka 2016 – 17, Diana Edward ikiwa ni sehemu ya stahiki yake aliyotakiwa kuipata baada ya kutwaa taji hilo, mapema mwaka jana. Fedha hizo zimetolewa na Mmoja wa Wadhamini wa shindano hilo, ambao ni Duka Maarufu …