TTCL Yazinduwa Bonanza la SHIMMUTA Dar

OFISA Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura Oktoba 11, 2014 amezinduwa Bonanza la Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma na Makampuni Binafsi Tanzania (SHIMMUTA) lililofanyika viwanja vya Chuo Kikuu (UDSM) jijini Dar es Salaam. Akizungumza katika hotuba yake, iliyosomwa kwa niaba na Ofisa Mkuu wa Biashara wa TTCL, Kanda ya Dar es Salaam, Karim …

Msanii Richie Richie Afiwa na Baba Mzazi

MSANII wa  maigizo na filamu nchini Na aliyekuwa Jaji wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) Single Mtambalike maarufu kwa jina la Richie,  amefiwa na baba yake mzazi Mzee Mtambalike usiku wa kuamkia leo, Msiba  upo Tabata, Dar. Timu Nzima ya Tanzania Movie Talents (TMT) na Kampuni nzima ya Proin Promotions Limited inapenda kutoa pole kwa Rich na familia yake …

Mapokezi ya Mlimbwende Lorraine Clement Jijini Dar

Lorraine Clement akipungia watu waliofika kumlaki , alipokuwa akiwasili uwanja wa ndege JNI, alipokuwa akitokea nchini, Thailand, kushiriki mashindano ya Miss Grand International 2014, ambapo Lorraine aliibuka nafasi ya 20 bora. Na Andrerw  Chale MWANADADA Lorraine Clement aliyeiwakilisha Tanzania katika mashindano ya urembo ya kimataifa ya Miss Grand International 2014,  na kufanikiwa kushika nafasi ya 20 bora katika shindano lililofanyika …

Mwisho Urejeshaji Fomu Shindano la Mashujaa wa Kesho ni Kesho

Na Mwandishi Wetu, Mtwara WAKATI siku ya mwisho ya urejeshaji wa fomu kwa vijana watakao shiriki Shindano la Mashujaa wa Kesho ukiwadia na dirisha la upokeaji fomu hizo kutarajiwa kufungwa hapo kesho majira ya saa nane idadi ya vijana waliorejesha fomu hizo imeendelea kupanda. Akizungumzia zoezi hilo jana mchana, Ofisa Mawasiliano wa Kampuni ya Statoil Tanzania, Erick Mchome aliwataka vijana …