Mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo, Bw. Leornad Thadeo akifungua bonanza la NGUVU YA KODI lililofanyika katika Viwanja vya chuo cha ustawi wa jamii katika siku ya kumbukumbu ya kuadhimisha miaka kumi na tano (15) tangu hayati baba wa taifa Mwalimu Julius K Nyerere alipofariki Dunia Jijini Dar es Salaam. Tamasha hilo limemkumbuka Baba wa Taifa kwa kutoa Elimu na …
Idara Yamtetea Pistorius, Yataka Afungwe Nje
IDARA ya Kurekebisha Tabia nchini Afrika Kusini imeomba mwanariadha maarufu wa nchi hiyo Oscar Pistorius anayetuhumiwa kwa mashtaka ya kumuua mpenzi, Reeva Steenkamp apewe kifungo cha nyumbani cha miaka mitatu juu ya kosa linalomkabili la kumpiga risasi na kumuua mpenzi wake huyo. Ofisa toka idara hiyo, Joel Maringa ametoa ombi hilo kwenye Mahakama mjini Pretoria kuwa hawamuadhibu tu Pistoruiis bali …
Mama Kanumba na Lulu Ndani ya Mapenzi ya Mungu…!
Hivi karibu Msanii Mahiri na Nguli katika tasnia ya filamu nchini Elizabeth Michael almaarufu kama LULU ataibuka na filamu yake Mpya na yenye kusisimua iitwayo “MAPENZI YA MUNGU” ambapo moja kati ya washiriki katika filamu hiyo ni Bi Flora Mtegoha ambae ni Mama Mzazi wa aliyekuwa Msanii Nguli wa Kiume Hapa Bongo Marehemu Steven Kanumba. Filamu ya “Mapenzi ya Mungu” …
Mpambano Mkali wa Ngumi Kufanyika Oktoba 25
Mwandishi Wetu MPAMBANO mkali wa mchezo wa masumbwi utakaowakutanisha mabondia mbalimbali kutoka kila kona ya Tanzania unatarajia kufanyika Oktoba 25, 2014 katika ukumbi wa Friends Corner Manzese jijini Dar es Salaam. Akizungumzia mpambano huo Mratibu wa pambano hilo ambaye pia ni kocha wa mchezo wa masumbwi nchini, Rajabu Mhamila ‘Super D’ alisema maandalizi yanaendelea vizuri. Alisema kuwa siku hiyo kutakuwa …
Ikulu Yazoa Vikombe SHIMIWI, Wanamichezo Waaswa
Na Eleuteri Mangi – MAELEZO KLABU ya Ofisi ya Rais Ikulu imeonesha umwamba wao kwa kupokea vikombe vingi na medali katika mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) ambayo yamefikia tamati leo mjini Morogoro. Klabu hiyo imeongoza kwa kupokea vikombe vingi zaidi ya klabu nyingine zilizoshiriki michuano hiyo ambapo jumla ya vikombe sita vimechukuliwa na …