Miss Tanzania 2014 Azungumzia Umri Wake, Lundenga Ajitoa..!

KIZUNGUMKUTI kilichotanda tangu kutangazwa kwa mshindi wa taji la Miss Tanzania 2014, Sitti Abbas Zuberi Mtemvu leo kimeingia katika utata zaidi baada ya mlimbwende huyo kujitokeza pamoja mwandaaji wa shindano hilo, Hasheem Lundenga kuzungumzia tuhuma zinazoendelea. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Sitti alisema yeye ana umri wa miaka 23 na cheti chake cha kuzaliwa kilipotea …

Mkenya Atolewa Jumba la Big Brother

MWAKILISHI wa Kenya ndani ya jumba la Big Brother, Sabina Anyango ametolewa ndani ya jumba hilo. Sabina ambaye ni mama wa mtoto wa miezi minane na ndio mkenya wa kwanza kufungishwa virago. Inadaiwa kuwa watazamaji na mashabiki wa shindano hilo waliamua kumpigia kura za kumtoa Sabina ili aende kumuhudumia mwanawe. Ikiwa ni siku 14 pekee zilizopita mshiriki Sabina ameonekana kumkumbuka …

Oscar Pistorius Ahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5

MWANARIADHA nyota wa nchi ya Afrika Kusini Oscar Pistorius amehukumiwa kwenda jela miaka 5 baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp bila kukusudia. Hukumu hiyo imetolewa baada ya mwanariadha huyo mlemavu kuthibitika kuwa alifanya mauaji hayo bila ya kukusudia. Jaji Thokozile Masipa akitoa hukumu hiyo alianza kwa kueleza kuwa itakuwa ni vigumu na changamoto kwake kutoa hukumu …

Msanii Diamond Matatani, Sare za JWTZ Zamponza…!

Na Mwandishi Wetu, MSANII nyota wa muziki wa bongo fleva, Nasib Abdul a.k.a Diamond Platinum ameingia katika mgogoro na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) baada ya kufanya ‘show’ yake ndani ya Tamasha la Fiesta jijini Dar es Salaam akiwa amevalia sare kama za jeshi hilo pamoja na wacheza ‘show’ wake. Uamuzi huo wa Diamond kuvaa sare kama za JWTZ unamuingiza …

Filamu ya Mapenzi ya Mungu Kuingia Sokoni…!

Mwezi, Wiki na Sasa siku zimebaki kwa ile Filamu Mpya na ya Kusisimua ya MAPENZI YA MUNGU Kuingia Sokoni ambayo imewakutanisha wasanii mahiri wa hapa hapa Tanzania ambapo Mmoja kati ya Wasanii waliocheza filamu hiyo Ni Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya anayejulikana kama Linah Sanga, kwa Kushirikiana na Elizabeth Michael bila Kumsahau Flora Mtegoha ambae ni Mama Mzazi wa …