Bodi ya Filamu Tanzania Yakomalia Sheria, Kanuni

Na Benedict Liwenga, Maelezo-DSM BODI ya Filamu Tanzania imezitaka Kampuni za filamu nchini kufuata Sheria na Kanuni mbalimbali wakati wa kutengeneza filamu ili kuepusha ukiukwaji wa Sheria na Kununi. Rai hiyo imetolewa leo na Katibu wa Bodi hiyo, Bi. Joyce Fissoo wakati alipofanya mkutano na Kampuni ya Kajala Entertainment ambapo mnamo Septemba 22, mwaka huu ilikagua Filamu fupi ya kampuni …

Sheria Ngowi Afunika Mercedes Benz Fashion Week Africa 2014

Na Mwandishi wetu MBUNIFU wa kimataifa wa mavazi kutoka Tanzania, Sheria Ngowi amedhihirisha kuwa yeye ni nguli katika ubunifu baada ya kufinika katika onyesho la mavazi la kimataifa lijulikanalo kama Mercedes Benz Fashion Week Africa 2014 lililofanyika juzi Ijumaa mjini Johannesburg, Afrika Kusini. Ngowi alionyesha mkusanyiko wa mavazi aliyoyaita ‘PRIDE’ yaani kujivunia,  kama moja ya njia za kumuenzi Baba wa …

Jubilei Miaka 50 ya Bendi ya Msondo Ngoma

 Bendi Kongwe ya Muziki wa Dansi hapa nchini iliyodumu kwa miaka 50 toka kuanzishwa kwake mwaka 1964,Msondo Ngoma Music Band imesherehekea jubilei yake hiyo iliyofanyika Novemba 1,2014 katika viwanja vya TCC Club,Chang’ombe jijini Dar es Salaam na kuwakutanisha mashabiki wake lukuki kutoka sehemu mbali mbali.   Mgeni Rasmi katika Sherehe hizo ya kusherehekea Jubilei ya miaka 50 ya Bendi ya …

Bondia Fadhili Majiha Apigwa Thailand, Alalamikia Waamuzi…!

Na Mwandishi Wetu BONDIA wa uzito wa ‘Bantamweight’, Fadhili Majiha ‘Stoper’ mwishoni mwa wiki alikuwa na kibarua kizito kutoka kwa bondia wa Thailand, Pungluang Sor Singyu aliyemenyana naye nyumbani kwao Thailand na kupigwa kwa pointi. Akizungumzia matokeo hayo, Stoper amejinasibu kuwa alipaswa kushinda pambano hilo kwani alicheza kwa umakini mkubwa lakini waamuzi walimpendelea mpinzani wake kwa kuwa alikuwa akicheza nyumbani. …

Msanii Ebrahim Makunja Ahojiwa na Offener TV

MWANAMUZIKI Ebrahim Makunja a.k.a Kamanda Ras Makunja kiongozi mwanzilishi wa bendi maarufu Ngoma Africa almaharufu FFU-Ughaibuni ya Ujerumani, juzi alifanya mahojiano na kituo cha TV cha Offener Channel ya Ujerumani. Mwongozaji wa kipindi katika mahojiano hayo, Fischer alimkutanisha msanii huyo pia na wataalam na wadau wa muziki wa kimataifa. Akikaribishwa katika kipindi hicho mwanamuziki Ras Makunja ametajwa kuwa jamii ya …