Diamond Platnamz amekuaja na video mpya ya wimbo wa Ntampata Wapi, safari hii msanii huyu mahiri wa kizazi kipya amekuwa mbunifu zaidi. Angalia video na utoe maoni yako kwenye komenti
Tarsis Masela wa Akudo Kuzinduwa Albamu ‘Acha Hizo’
UZINDUZI wa albamu ya Mwanamuziki nyota Tarsis Masela iitwayo ‘Acha Hizo’ unatarajiwa kufanyika kesho kwenye Ukumbi wa Ten Lounge, zamani ukijulikana kama Business Park, uliopo Victoria Jijini Dar es Salaam. Katika uzindu huo bendi ya Mashujaa, Akudo Impack na Jahazi Modern Taarab, zitasindikiza usiku huo maalum wa Tarsis Masela. Akizungumza Dar es Salaam leo Masela, alisema kuwa maandalizi ya uzinduzi …
Happiness Watimanywa Akifanya Mahojiano na BBC
Angalia video ya Mwakilishi wa Tanzania katika Miss World 2014 Happiness Watimanywa Bonus Video: TANZANIA, Happiness Watimanya – Contestant Introduction: Miss World 2014
Bondia Zumba Kukwe Kuzichapa na Sweet Kalulu
BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini na machachali ulingoni, Zumba Kukwe “Chenji dola” anatarajia kupanda ulingoni Alhamisi Novemba 27, 2014 kuzipiga na bondia mkongwe, Sweet Kalulu katika ukumbi wa Kontena uliopo Kibaha Maili Moja. Taarifa zinasema mabondia hao watacheza pambano la raundi nane, lisilo la ubingwa na mshindi kati yao atacheza na mshindi kati ya mabondia, Thomas Mashali na Dula …
Yamoto, Skylight Band Zafanya Kweli Jijini Mwanza
Mkurugenzi Mtendaji wa Skylight Band Dkt. Sebastian Ndege a.k.a JembeniJembe akimtambulisha Mkurugenzi wa Yamoto Band Said Fella almaarufu kama Mkubwa na wanawe kwa wakazi wa jijini Mwanza waliotinga kwenye hekalu la maraha lililo Malimbe jijini Mwanza Jembe Beach. Vijana wa Skylight Band ndani ya Jembe Beach jijini Mwanza wakifungua burudani kwa kumpa sapoti Digna Mbepera (wa pili kulia) kutoa burudani …
Happiness Watimanywa Ahaidi Kufanya Vizuri Uingereza
Na Benedict Liwenga, Maelezo-DSM MREMBO wa Tanzania wa mwaka 2013, Happiness Watimanywa ameahidi kuing’arisha Tanzania katika mashindano ya ulimbwende ya Dunia yatakayofanyika mapema mwezi ujao huko nchini Uingereza. Akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, mlimbwende huyo amewaeleza waadishi kuwa, kutokana na uzoefu wa kazi zake alizokuwa akifanya kwa jamii kwa muda kipindi cha mwaka …