Christian Bella, Vanessa Mdee Kutumbuiza Mjadala TGNP

Na Mwandishi Wetu MSANII nyota wa dansi nchini Tanzania, Christian Bella pamoja na Vanessa Mdee wa miondoko ya bongo fleva wanatarajia kutumbuiza katika mjadala wa wazi utakaofanyika Desemba 3, 2014 ikiwa ni sehemu ya shamra shamra za maadhimisho ya siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari na Kaimu Mkurugenzi wa …

Kala Jeremiah Azinduwa Video Mpya

   Kala Jeremiah akichana mistari. Mwanamziki wa Hip hop, Kala Jeremiah amezindua video yake ya Wimbo Usikate Tamaa  aliomshirikisha Nuruwell katika Ukumbi wa Maisha Club, jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo. Katika uzinduzi huo, Kala alisindikizwa na mastaa kibao wakiwemo Mo Music, Ben Pol, La Veda, Stamina, Ney Lee ambao waliporomosha shoo za nguvu na kuzikonga nyoyo za mashabiki …

Msanii Jebby Kuachia Kitu Kimpya

MSANII wa siku nyingi wa kundi la TMK UNIT Jebby anatatajia kuachia wimbo wake mpya kuanzia tarehe 25 mwenzi huu au tareha 5 mwezi wa kumi na mbili mwaka huu. Akizungumza na mtandao huu amesema kuwa alikuwa amekaa kimya mda mrefu bila kuaachia wimbo wowote kutokana na changomoto za kimziki na maisha nje muziki. Hata hivyo Jebby aliuambia mtandao huu …