Aisha Madinda Kuzikwa Leo

ALIYEKUWA mnenguaji nyota wa muziki wa dansi toka bendi ya Twanga pepeta, Aisha Madinda aliyefariki dunia juzi jijini Dar es Salaam. Awali mazishi ya msanii huyo yalikuwa yafanyike jana lakini yaliahirishwa kutokana na familia kuwa na utata juu ya kifo cha Aisha Madinda. Mazishi ya aliyekuwa mnenguaji wa Twanga Pepeta, Aisha Madinda yaliyokuwa yafanyike Alhamis hii yameahirishwa hadi Ijumaa ili …

Mnenguaji Aisha Madinda Afariki Dunia Leo

ALIYEKUWA mnenguaji nyota wa Bendi ya Twanga Pepeta, ‘African Stars’ na Extra Bongo, Aisha Madinda amefariki dunia leo jijini Dar es Salaam. Taarifa ambazo mtandao huu umezipata na kuthibitishwa na Mkurugenzi wa ASET, Asha Baraka mnenguaji huyo amefariki majira ya mchana leo jijini Dar es Salaam. Taarifa zaidi ni hapo baadaye.

Maximo Yametimia, Yanga Yamtimua Kocha Maximo

KATIKA hali isiyouwa ya kawaida Timu ya Yanga ya Jijini Dar es Salaam imemtimua kocha wake Mkuu Marcio Maximo na kuingia mkataba na Kocha Amiss Tambwe. Kocha Maximo anatimuliwa ikiwa ni siku mbili baada ya Timu ya Yanga kucharazwa magoli mawili na watani wao wa jadi Simba SC ya jijini Dar es Salaam kwenye mchezo wa Nani Mtani Jembe uliofanyika …

Mdundiko and Network Nominated for Nigeria Awards

TWO Tanzanian movies Mdundiko and Network have been nominated for Nigeria Awards, the 2015 Africa Magic Viewers Choice Awards which will take place early next year. Both movies are nominated in the category of Best Indigenous Language – Swahili and they are competing with Kenyan films. Mdundiko which is directed by Timoth Conrad stars Lumolwe Matovolwa, Dokii,Tino, Rado, Masinde and …

Mpigie Kura Miss Tanzania Ashinde Miss World 2014

NEW TOP 10 on the Miss World People’s Choice! AUSTRALIA BARBADOS HAITI INDIA NEPAL NETHERLANDS PHILIPPINES SOUTH AFRICA TANZANIA – NEW ENTRY! THAILAND TANZANIA jumps up into the top 10 today, with Russia dropping out! Voting closes 15:30 on Sunday 14th December, so there is only 96 to go! Download the Miss World App for free to register your vote …