Mwigulu Nchemba Kuongoza Tamasha la Upendo wa Mama Dar

Na Mwandishi Wetu NAIBU Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba anatarajiwa kuongoza Tamasha Maalumu la ‘Upendo wa Mama’ linalotarajiwa kufanyika katika Kanisa la Rutheran Mabibo Extenal jijini Dar es Salaam na kushirikisha waimbaji wengi kutoka ndani na nje ya Tanzania. Akizungumzia tamasha hilo leo jijini Dar es Salaam, Rais wa taasisi ya Upendo kwa Mama Foundation yenye makao makuu yake mkoani …

Pacho Mwamba Atiliwa Sumu, Aharibika Vibaya…!

MWANAMUZIKI na muugizaji wa filamu nchini Tanzania Pacho Mwamba ameharibika vibaya mwilini baada ya kutiliwa sumu kwenye kinywaji chache hivi karibuni. Taarifa ambazo mtandao wa Thehabari umezipata ni kwamba Mwamba kwa sasa amevimba uso na kuharibika (kuvimba) baadhi ya sehemu za mwili wake baada ya kujikuta anatumia simu hiyo bila yeye kujua. Chanzo cha kuaminika kinasema msanii huyo wa filamu …

Tamasha la Pasaka Kufanyika Krismas Mkoani Mbeya

  Mwimbaji wa muziki wa injili Tumaini Njole akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za kampuni ya Msama Promotion ambayo inaandaa Tamasha la Pasaka litakalofanyika sikukuu ya Krismas tarehe 25/12/2014  mkoani Mbeya wakati alipozungumzia maadalizi ya tamasha hilo na jinsi alivyojipanga kukonga mioyo ya mashabiki wa nyimbo za injili mkoani Mbeya , Tamasha hilo linatarajiwa kuanza muda wa Saa …

Friends Rangers Kujipima na Ndanda FC ya Mtwara

Mwandishi Wetu KIKOSI cha timu ya Friends Rangers, kesho kinajitupa kwenye Uwanja wa Makurumla, Magomeni Mwembechai, kuvaana na timu ya Ndanda FC ya Mtwara, katika mchezo wa kirafiki wa kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Daraja la Kwanza. Ofisa habari wa timu hiyo Asha Kigundula, alisema kikosi hicho kinashuka dimbani ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mzunguko wa pili …

Kajala Amwaga Mihela kwa Wasanii…!

Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akitoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village huku akipewa sapoti na Digna Mbepera. Majembe ya Skylight Band yakionyesha manjonjo yao jukwaani Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki. Aneth Kushaba na Sam Mapenzi wakiwapa raha mashabiki wao huku Digna Mbepera na Bella Kombo. …