Filamu 132 Kuoneshwa Tamasha la Filamu Nchi za Majahazi, ZIFF 2017

  UONGOZI wa waandaaji wa Tamasha la Kimataifa la Filamu za Nchi za Jahazi (ZIFF), mapema leo Mei 19.2017, wametangaza rasmi filamu zilizochaguliwa kwa mwaka huu na ambazo zitaoneshwa kwenye tamasha hilo msimu wa 20, hapo Julai 8-16-2017. Akizungumza na waandishi wa Habari Jijii Dar e Salaam, Mkurugenzi wa ZIFF, Bw. Fabrizio Colombo amesema kuwa, jumla ya filamu 132, zimeweza …

NMB yawezesha kufanyika kwa mashindano ya michezo Zanzibar

        MAKAMU wa Rais wa Pili wa Zanzibar, Balozi Seif Ally Idd, ameipongeza Benki ya NMB kwa kudhamimi Mashindano ya Michezo kwa Taasisi za Elimu na Vyuo Vikuu Zanzibar (ZAHILFE 2017), iliyozinduliwa juzi Jumapili, huku akiwataka washiriki kuitumia vema fursa hiyo. NMB imedhamini mashindano hayo kwa kiasi cha Sh. Mil. 20, ambako timu kutoka taasisi za elimu …

MWAKYEMBE AFAGILIA MASHINDANO YA DASANI MARATHON 2017

    Mkurugenzi wa Michezo Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,  Yusufu Singo (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa mashindano ya mbio ya Km 21 ya Dasani Marathon 2017  baada ya kuwakabidhi zawadi zao eneo la Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay Dar es Salaam leo. Mshindi wa kwanza, Augustine Sule (aliyesimama juu), Mshindi wa pili …

BENKI YA NMB YAISAIDIA TIMU YA SINGIDA UNITED VIFAA VYA MICHEZO VYA SH.MILIONI 10

Katibu wa Timu ya Singida United, Abdurahman Sima (kushoto), akizungumza wakati wa hafla fupi ya kupokea vifaa hivyo. Ofisa Mkuu wa Wateja Wakubwa na Serikali wa Benki ya NMB, Richard Makungwa (katikati), akizungumza katika hafla ya kukabidhi vifaa hivyo. Kulia ni Mwenyekiti wa timu hiyo, Yusuph Mwandani. Mkutano na wanahabari ukiendelea. Hapa ni makabidhiano ya jezi. Vifaa vilivyokabidhiwa vikioneshwa kwa …

MIGODI YA ACACIA YAWA KIVUTIO MAONESHO WIKI YA USALAMA NA AFYA

  Maonesho ya Wiki ya Usalama na Afya mahala pa kazi yanayofanyika Moshi mkoani Kilimanjaro. Maonesho haya yanayohusisha kampuni na Taasisi mbalimbali nchini yanaratibiwa na Wakala wa Usalama na Afya mahala pa Kazi (OSHA). Baadhi ya Wafanyakazi wa Mgodi wa Dhahabu wa Bulyanhulu unaomilikiwa na Kampuni ya ACACIA,wakiweka sawa moja ya picha inayoonesha eneo ambalo shughuli za uchimbaji unafanyika. Afisa …

IVORY BAND YAPANIA KUPAA KATIKA ANGA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA

IJUMAA hii na kila Ijumaa ni siku ya raha na starehe kwa wakazi wa Tabata na vitongoji vyake, maana mara tu baada ya jua kuzama kiota maarufu cha NEXT DOOR kilichopo katika kitongoji hicho cha wastaarabu huwaka moto wa midundo ya aina mbalimbali inayoporomoshwa na IVORY BAND iliyosheheni vipaji visivyo vya kawaida.    Ripota wetu alipotembelea hapo katika ukumbi wa NEXT …