Filamu ya Kutakapo Kucha…!

Katika maisha tunayoishi duniani sio vizuri kufanyiana mabaya, Kwani hujui kesho itakuaje. Malipo ni hapahapa Duniani . Fuatilia hii kupitia mtandao …….   Kwa Kuangalia Filamu hii ya Kitanzania iitwayo KUTAKAPOKUCHA au Kununua na iwe yako kupitia mtandao.   Ili kuweza kuangalia au kununua kupitia Mtandao unachotakiwa kufanya ni kutembelea tovuti hii   http://www.proinpromotions.co.tz   Pia unaweza kuangalia au kununua filamu …

Skylight Band na Ingizo la Mkali Mpya…!

Mratibu wa Skylight Band, Lubea akimkaribisha mdau wa bendi hiyo Miryam Kamaliza shot ya Tequila wakati wa show iliyobamba wakazi wa Dar Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village,  Masaki. Meneja wa Skylight Band, Aneth Kushaba AK47 akipiga kilaji cha Tequila kupasha mwili joto kabla ya kupanda jukwaani, kinywaji hicho ni maalum kwa mashabiki wa bendi hiyo pindi wanapoingia …

Skylight Band Gumzo ya Jiji la Dar es Salaam…!

Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar Kifaa kipya ndani ya Skylight Band John Music akiimba kwa hisia kaliii huku akipewa sapoti na Wenzake wa kwanza kushoto ni Baby na wa pili kutoka kushoto ni Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 na …

Mada Maugo na Kalama Nyilawila Kuzipiga Machi 8

MABONDIA wenye upinzania mkali Mabondia Mada Maugo pamoja na Kalama Nyilawila wanatarajia kupanda jukwaani kuzipiga ili kumaliza ubishi. Pambano hilo linatarajia kufanyika Machi 8, 2015 katika Ukumbi wa P.T.A Sabasaba jijini Dar es Salaam. Wakati huo huo mabondia wenye uzito wa juu nchini Aliphonce Mchumiatumbo na Iddi Kipandu ‘Iddi Bonge’ watapambana Feb 14 katika ukumbi wa P.T.A sabasaba wakigombania ubingwa …

Ujio wa Bondia Kimweri Fursa kwa Mabondoa Tanzania

Na Mwandishi Wetu NDONDI ni miongoni mwa mchezo maarufu nchini Tanzania na duniani kwa ujumla. Wapo wanamichezo waliojipatia heshima kubwa duniani kutokana na kufanikiwa kupitia mchezo wa ndondi. Miongoni mwa wanamichezo hao ni nguli Mohammed Ali, Mike ‘Iron’ Tyson, Evender Holyfield, Floyd Mayweather, Manny Pacquiao na wengineo wengi. Kwa hapa nchini, wapo mabondia waliojitengenezea majina wakiwamo Emmanuel Mlundwa, Habibu Kinyogoli …