Na Mwandishi Wetu, Tanga MASHINDANO ya mbio za Magari ya “Zig Zag Tanga Rally 2015” yanatarajiwa kuanza kutimua vumbi mkoani Tanga Mei 3 mwaka huu mzunguko wa pili kwenye yale ya Kitaifa chini ya ufadhili wa Zig Zag. Mashindano hayo watashindanisha umbali wa km 135 na yatakuwa na awamu tano, yatakayoanzia katika hotel ya Tanga Beach Resort na kupitia maeneo …
ZOEZI LA UANDIKISHAJI NSSF-REAL MADRID SPORTS ACADEMY KUENDELEA ZANZIBAR NA PEMBA VIWANJA VYA AMANI NA GOMBANI
ZOEZI LA UANDIKISHAJI NA MAJARIBIO KWA WACHEZAJI WATAKAOJIUNGA NA KITUO CHA MICHEZO CHA NSSF-REAL MADRID SPORTS ACADEMY LITAENDELEA MJINI ZANZIBAR NA PEMBA TAREHE 14/03/2015 NA 15/03/2015 KATIKA VIWANJA VYA AMANI NA GOMBANI. 1. Walengwa ni Watoto waliozaliwa kuanzia tarehe 01-01-2001 hadi 31-12-2003 2. Wawe na cheti halisi cha kuzaliwa na nakala yake. 3. Picha mbili za pasipoti zenye rangi ya …
Tamasha la Karibu International Music Festival…!
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo. Dotto Mwaibale TAMASHA la Music Festival linatarajiwa kufanyika Novemba 6 hadi 8 mwaka huu, Bagamoyo mkoani Pwani katika viwanja vya Mwanakalenge. Akizungumza Dar es Salaam leo Meneja wa Tamasha hilo Richard Lupia alisema lengo ni kukazia katika kurasimisha tasnia ya muziki kuwa na umakini zaidi na kukuza uchumi wa eneo husika la bagamoyo ambalo …
Valentine’s Day na Skylight Band Thai Village Masaki
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 (wa pili kulia) akiongoza vijana wake kutoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Kutoka kushoto ni mwimbaji Baby, Ashura Kitenge pamoja na Sam Mapenzi. Ijumaa hii Skylight Band hawatopiga Thai Village watakua njiani wakitokea nchini Oman, wanaomba radhi kwa usumubufu wowote …
Joti na Sanduku la Babu Sasa Yapatikana Mtandaoni
Siku zote kumbukumbu za babu zinachekesha saana na mwisho wake unaona kama unaboreka na kumbukumbu zake . Fuatilia hii kupitia mtandao ……. Kwa Kuangalia Filamu hii ya Kitanzania iitwayo Joti Sanduku la Babu au Kununua na iwe yako kupitia mtandao. Ili kuweza kuangalia au kununua kupitia Mtandao unachotakiwa kufanya ni kutembelea tovuti hii http://www.proinpromotions.co.tz Pia unaweza kuangalia …
Filamu ya I Love Mwanza…!
Mapenzi yanamfanya mtoto wa senetor Michael Nsonko kutoka Nairobi Kenya na kuja katika jiji la mwanza Tanzania. Alivutiwa sana na jiji hilo nakujiona ni mwenye bahati. Je kila kiang’aacho ni Dhahabu?. Fuatilia hii kupitia mtandao ……. Kwa Kuangalia Filamu hii ya Kitanzania mtandaoni iitwayo I LOVE MWANZA au Kununua na iwe yako tembelea tovuti ya http://www.proinpromotions.co.tz Pia unaweza …