Flaviana Matata Aula Marekani, Apata Dili la Matangazo

MWANAMITINDO FLAVIANA MATATA ANAYE FANYA KAZI ZAKE NCHINI MAREKANI AMBAYE AMEKUWA AKIFANYA KAZI MBALIMBALI ZA KUONESHA MAVAZI JUKWAANI SAMBAMBA NA MATANGAZO YA KIBIASHARA. SASA AMEFANYA NA KAMPUNI YA NEWYORK AND COMPANY KWA AJILI YA MAVAZI YA MAJIRA YA JOTO.

Mama Kanumba Alia Ukumbini…!

MAMA wa aliyekuwa staa wa filamu nchini Tanzania Steven Kanumba (The Great) juzi jijini Dar es Salaam alijikuta akiangua kilio hadharani kwenye hafla ya utoaji Tuzo za Filamu Tanzania kwa mwaka 2015 (Tuzo za TAFA 2015). Tukio hilo lilitokea mara baada ya kutangazwa kwa marehemu Steven Kanumba kutwaa tuzo ya msanii aliyechangia kiasi kikubwa kukua kwa tasnia ya filamu nchini …

Uzinduzi Tamthilia ya Tuonane ya StarTimes

 Balozi wa China nchini Tanzania, Liu Dong akitoa hutuba yake wakati wa uzinduzi wa Tamthilia mpya ya Tuonane ,Lets Get Married iliyichezwa na wachina na kutafsiriwa kwa kiswahili. Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar e Salaam jana. Kulia ni Ofisa kutoka ubalozi wa China, ambaye alikuwa ni mkalimani wa balozi huyo, Yetianfa Attache.   Balozi wa China nchini Tanzania, Liu Dong (kulia), …