Baadhi ya washiriki wakiwa kazini katika kutengeneza filamu mfupi Baadhi ya washiriki wakiwa makini huku sura zao zikiwa na majonzi na wasiwasi juu ya washiriki gani wanaooaga shindano kwa wiki hii. Baadhi ya watazamaji waliojitokeza katika kushuhudia mtanange wa washiriki wanaaga mashindano katika wiki hii na kushuhudia wanaoingia katika jua la utosi Walimu wa Washiriki wa Shindano la TMT 2015 …
Msanii Banza Stone Afariki Dunia Leo Dar..!
MSANII maarufu wa muziki wa dansi nchini, Ramadhan Masanja a.k.a Banza Stone amefariki dunia leo mchana jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu. Msanii Banza ambaye aliwahi kuzushiwa kifo mara kadhaa amefariki leo nyumbani kwao Sinza Vatican jijini Dar es Salaam na ndugu wa msanii hiyo wamethibitisha kutokea kwa kifo chacke. Banza stone au mwalimu wa walimu …
The Stars Band Kuzinduliwa Julai 18 Mzalendo Pub Dar
BENDI mpya ya muziki wa dansi ijulikanayo kama The Stars Band iliyo chini ya Anneth Kushaba inatarajiwa kuzinduliwa rasmi Jumamosi ya Julai 18, siku ya Idd-Mosi ndani ya kiota cha Mzalendo Pub, Kijitonyama jijini Dar es Salaam huku ikitarajiwa kusindikizwa na mwanamuziki Barnabas pamoja na bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ Kiongozi wa Stars Band, Kushaba anasema kuwa, tayari …
DC Paul Makonda Kuzinduwa Club ‘Maisha Basement’
Mratibu wa Burudani wa Club mpya ya ‘Maisha Basement’ zamani New Club Maisha, Hemed Kavu (katikati), akizungumza katika mkutano huo. Kushoto ni Meneja wa Matukio, Robert Salehe na Kulia ni Meneja wa Burudani, Geofrey Gilla. Meneja wa Burudani, Geofrey Gilla, akiwaonesha wanahabari ukumbi huo. Meneja Mkuu wa Club hiyo, Allan Ngugi (kulia), akifurahia jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Club hiyo,Jean Claud …
Ni Lulu Kayage au Mwanne Haji Idd Mosi
Na Mwandishi Wetu MABONDIA wa kike kupanda uringoni siku ya Iddi Mosi katika ukumbi wa frends corner Manzese Dar es Salaam mambondia hawo ni Lulu Kayage ambaye atavaana na Mwanne Haji katika mpambano wao wa raundi sita uzito wa kg 49 Mratibu wa mpambano uho Dikumbwaya Mtengwa siku hiyo pia kutakuwa na ngumi kazi za wanaume wa shoka alisema bondia …
Miss Universe 2014 Akabidhi Msaada na Elimu ya Uzazi…!
MISS Universe Tanzania 2014 Caroline Bernard amekabidhi msaada pamoja na kutoa elimu ya afya ya uzazi kwa watoto wa kike katika shule ya msingi Msimbazi Mseto. Huu ukiwa ni mwendelezo wake katika kufanya kazi za kijamii, Caroline ambaye ndiye aliyetwaa taji la Miss Universe Tanzania 2014 ataendelea kulitumikia taji lake kama mrembo mtawazwa ingawa alishindwa kwenda kushindana kimataifa kutokana na …