Makundi 5 Yatinga Ndani ya Dance 100% 2015 Usaili Temeke

Usaili wa kwanza wa Dance 100% (2015) umefanyika kwa mafanikio makubwa Temeke jijini Dar es Salaam, ambapo makundi ya Team ya Shamba, The WT Group, WD, The Best Boys Kaka Zao na Team Makorokocho wameweza kushinda nafasi ya kuingia katika michuano kutoka wilaya ya Temeke. Makundi haya yamechuana vikali na mengine 6 yanayokamilisha idadi ya makundi 11, UNI 6 Crew, GMF Crew, TWC, Dar Crew, Noma Sana …

Proin Promotions Yakanusha Washiriki TMT Kubambwa Chooni

KAPUNI ya Proin Promotions Ltd ambao ni waandaaji na waendeshaji wa shindano la Kusaka vipaji vya Kuigiza lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents (TMT) ambalo linaendelea kufanyika huku washiriki watano Wakiwa washaenguliwa katika shindano hilo Kutokana na Kutokupata kura za kutosha kutoka kwa watazamaji wa Kipindi hiko mahiri kinachorushwa na kituo cha runinga cha ITV siku ya Jumapili saa tatu na …

Kalunde Bendi Watumbuiza Eid Pili Ndani ya GMB Mbezi

Mkurugenzi wa bendi ya Kalunde Deo Mwanambilimbi akiimba wakati bendi hiyo ilipotumbuiza katika klabu ya GMB Mbezi jijini Dar es salaam Maarufu kwa Mbaga katika siku ya pili ya sikukuu ya Idd, kulia ni mwanamuziki Bijuu wa bendi hiyo. Wanamuziki wa bendi hiyo wakiimba katika onesho hilo lililofanyika kwenye klabu ya GMB Mbezi jijini Dar es salaam. Mwanamuziki wa bendi …

Msanii ‘Banza Stone’, Ramadhan Masanja Azikwa Dar

MSANII nyota wa muziki wa dansi nchini aliyefariki dunia jana jijini Dar es Salaam, Ramadhani Masanja au maarufu kwa jina la Banza Stone amezikwa leo jioni katika makaburi ya Sinza jijini Dar es Salamm. Mazishi ya Banza Stone ambayo yamehudhuriwa na baadhi ya wasanii nyota, viongozi ambalimbali na wananchi yamevuta hisia za wengi hasa wapenzi wa muziki wa dansi. Tayari …

Mama Salma Kikwete Ashiriki Msiba wa ‘Banza Stone’

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akilakiwa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Bw. Godfrer Mngereza alipowasili kujiunga na familia na waombolezaji katika msiba wa mwanamuziki Ramadhani Masanja “Banza Stone” Sinza Lion jijini Dar es salaam leo Jumamosi Julai 18, 2015. Marehemu Banza Stone, aliyefariki jana mchana baada ya kuugua kwa muda mrefu,  amezikwa leo jioni …