Baadhi ya wasanii wakiwa katika mjadala JUKWAA La Sanaa la BASATA wiki hii lilipata wazungumzaji wa aina yake na kulifanya kuwa jukwaa lililochangamka na kuwa na mazungumzo ya zaidi ya saa tano. Wasanii takriban 70 walikaa wakichambua maada mbalimbali kuhusu mustakhabari wa sanaa katika nchi yetu. Jambo ambalo liliingiza changamoto katika jukwaa hili, ni kuweko katika meza kuu wasanii wawili …
Uzinduzi Kipindi cha Mashariki Max
Na Eleuteri Mangi- MAELEZO Sekta ya michezo nchini inazidi kuimarika na kuongeza fursa kwa wanamichezo na wapenda michezo nchini kwa kuzileta pamoja nchi za Afrika ya Mashariki kwa kurusha ligi za michezo mbalimbali kutoka nchi hizo kupitia Televisheni ya Star Times. Kauli hiyo imetolewa na Makamu wa Rais wa Star Times Group kutoka Beijing China Michael Dearharm alipokuwa akitoa hotuba …
Buzwagi Yazindua Ligi -Kahama
Bwana Jamal Rwambol Security Operations Section Leader wa mgodi wa Dhahabu wa Buzwagi akizungumza wakati wa ufunguzi wa mashindano hayo. Kaimu Meneja Mkuu wa Mgodi wa Buzwagi Bwana Amos John akizungumza wakati wa uzinduzi wa mashindano hayo. Kikosi cha Timu ya Majimaji kutoka kata ya Mwendakulima. Kikosi cha Timu ya Star Boys. Bwana Amos John Kaimu meneja mkuu wa Mgodi wa Buzwagi akifunga …
PSPF Wadhamini Ligi ya Bodaboda Kipunguni “B”
div style=”text-align: center;”> Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Delphin Richard akizungumza na madereva bodaboda wa Kipunguni ‘B’ kuhusu huduma zitolewazo na Mfuko wa Pensheni wa PSPF hasa katika uchangiaji wa hiari ambapo mtu yeyote anaweza kujiunga Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, Josephat Sylvery Tirumanywa akizungumza na wananchi mbalimbali waliofanikiwa kuhudhuria ufunguzi wa …
Mashindano Mbio za Mashua ‘Mercedes Benz Cup 2015’ Yafanyika
Mashua zenye tanga zinazojaza upepo zikichanja mbuga katika mawimbi makali kwenye bahari ya hindi kwenye fukwe za Yatch Club wakati wa mashindano ya mbio za Mashua za Mercedes Benz Cup 2015 yaliyodhaminiwa na kampuni ya CFAO Motors kwa miaka 9 sasa, yaliyomalizika mwishoni mwa juma jijini Dar es Salaam.(Picha na Zainul Mzige wa modewjiblog). Na Mwandishi wetu KLABU ya Yatch …
Watanzania 7 Wateuliwa Kamati za CAF
Kikao cha Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la mpira barani Afrika (CAF) kilichokutana mwishoni mwa wiki jijini Cairo nchini Misri, kimewateua watanzania saba kuwa wajumbe wa kamati zake mbali mbali kwa kipindi cha miaka miwili 2015-2017. Walioteuliwa pamoja na kamati zao katika mabano ni: 1. Leodeger Tenga- (Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Makamu Mwenyekiti Kamati ya Fedha, Mjumbe wa Kamati …