Breaking Newz; Papa Wemba Atua Tanzania, Kutumbuiza Bagamoyo

MWANAMUZIKI nguli wa ndansi kutoka nchini Congo (DRC) Papa Wemba amewasili usiku huu jijini Dar es Salaam tayari kwa kutumbuiza katika tamasha la Karibu Music Festival 2015. Papa Wemba ametua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julias Nyerere (JNIA) majira ya saa nane kasoro na ndege ya shirika la Kenya (Kenya Airways-KQ). Mara baada ya kuwasili msanii huyo …

Papa Wemba Kutumbuiza Tamasha la Karibu Music Festival 2015

MWANAMUZIKI nguli wa dansi kutoka nchini Congo DR, Papa Wemba ni miongoni mwa wasanii wanaotarajia kutumbuiza katika tamasha kubwa la Kimataifa la Muziki la ‘Karibu Music Festival’ linaloratibiwa na Karibu Cultural Promotions Organization (KCPO) na Legendary Music Entertainment and Promotions Co. Ltd. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam Ofisa Mauzo wa KCPO, Ernest Biseko alisema wanamuziki …

Mchango wa Proin Promotions Kukuza Tasnia ya Filamu Nchini

Unapozungumzia tasnia ya filamu nchini basi huwezi kuacha kuzungumzia makampuni ya kusambaza kazi za filamu Tanzania na Nje ya Tanzania. Kuna Makampuni mengi sana ambayo yanasambaza kazi za filamu ndani na Nje ya Tanzania lakini Katika Makampuni hayo huwezi kuacha Kuitaja Kampuni ijulikanayo kama PROIN PROMOTIONS LTD yenye makao yake Mikocheni na Mabibo. Proin Promotions Ltd ni kampuni ya kutengeneza …

Kush Lodhia Aibuka Kidedea ‘Rhino Automobile Services golf’

Bertha Ismail, Arusha MPIGA gofu Kush Lodhia ‘week end’ hii ameibuka kidedea katika michuano ya “Rhino Automobile Services golf” baada ya kujipatia alama 38 katika miduara 18 ya mchezo wa gofu yaliyofanyika katika viwanja vya Gymkana jijini Arusha. Michuano hayo yaliyoshirikisha wachezaji 50 wa gofu kutoa Arusha kati yao watoto wanne walishiriki na wasichana watatu, ambapo mbali na ushindi wa …

EFM Yaanzisha Shindano la Kanga Wanawake

 Ofisa Habari, Lydia Moyo (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo wakati akimkaribisha Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Redio EFM, Denis Ssebo  kuzungumza na wanahabari.  Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Redio EFM, Denis Ssebo (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu shindano lililoanzishwa na redio hiyo la Kanga kupitia kipindi cha …