Chama cha Mpira wa Kikapu Mkoa wa Arusha (ARBA), Kipo katika hali ya ukata mkubwa kiasi ambacho kilisababisa kushindwa kwenda kushiriki Michuano ya Taifa yaliyomalizika mwishoni mwa mwezi Novemba Mkoani Morogoro. Mwenyekiti wa chama cha Mpira wa Kikapu Mkoa wa Arusha (ARBA) Barick Kilimba alisema kuwa licha ya chama kuandaa kikosi kwa ajili ya mashindano, walishindwa kufanikisha lengo zikiwa zimesalia …
AFC YAINGIA MZIGONI DHIDI YA JKT RWANKOME.
Timu ya AFC imeapata kuisambaratisha timu ya JKT Rwankome katika mchezo wa mwendelezo Ligi Daraja la Pili Ngazi ya Taifa (SDL), Utakaochezwa mwishoni mwa wiki hapa jijini Arusha Katika dimba la Sheikh Amri Abeid. AFC yenye makazi yake jijini Arusha haijafanikiwa kupata pointi hata moja tangu kuanza kwa Ligi hiyo , kwani katika mchezo wao wa kwanza dhidi ya Pamba …
Instagram Party Kufanyika Escape One Jumamosi
Mkurugenzi wa Freconic ideaz, Fred Ngimba. Wanahabari wakichukua taarifa hiyo. wanahabari wakiwa kwenye mkutano huo. Na Dotto Mwaibale KAMPUNI ya Freconic Ideaz, imeandaa tamasha la burudani la ‘Instagram party’ litakalofanyika kesho kutwa kwenye Ukumbi wa Escape One Mikocheni jijini Dar es Salaam likiwa na lengo la kuwakumbusha wapenzi wa muziki, mavazi na misemo ya kizamani. Akizungumza Dar …
Wadau wa Riadha Wazungumzia Kilimanjaro Marathon 2016…!
Meneja Mawasiliano ya Umma wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, John Wanyancha akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika hafla ya kuzindua msimu mpya wa mbio za Kilimanjaro Marathon 2016, ambapo Tigo wametoa zaidi ya shilingi milioni 200 kwa ajili ya mbio hizo. Hafla hiyo imefanyika leo asubuhi jijini Dar es Salaam. Wadhamini wa mbio za …
Papa Wemba Afanya Maajabu Tamasha la Karibu Music Festival 2015
Mwanamuziki nguli wa dansi kutoka DRC Congo, Papaa Wemba kushoto akiimba na kucheza sambamba na madansa wake jukwaani usiku wa kuamkia leo kwenye tamasha la muzuki la Karibu Music Festival msimu wa pili linaloendelea katika viwanja vya Mwanakalenge, mjini Bagamoyo. [BAGAMOYO-TANZANIA] Mwanamuziki kutoka Congo mwenye makazi yake nchini Ufaransa, Papaa Wemba, ameweza kuonyesha ukomavu wake kwenye muziki wa dansi licha …
Bondia Mwakansope Atalipa Kisasi Dhidi ya Ibrahimu Tamba..!
Na Mwandishi Wetu BONDIA Ibrahimu Tamba anapanda tena uringoni Novemba 22 katika ukumbi wa Frends Corner Manzese Dar es Salaam kuwania mkanda wa ubingwa na bondia Baraka Mwakansope kutoka Mbeya ukiwa ni mpambano wa raundi kumi wa kilogramu 73. Mpambano huo unatarajiwa kuwa wa kisasi baada ya mara ya kwanza Tamba kumchapa bondia Maisha Samsoni wa Mbeya hivyo Mwakansope amekuja …