Kukutana DNA mzee wa Banjuka Raia wa nchi ya Kenya akitanua na familia ya katika nchi za mambele. mwanamuziki DNA aliyetamba na Kibao cha Banjuka anasema anaonafuraha zaidi anapokuwa akitanua akiwa na familia yake kuliko anapokuwa mwenyewe. Wimbo wa Banjuka wakati ukitoka mwaka 2007 ulikuwa kama wimbo wa taifa hasa kwa vijana kutokana na kupendwa kwa wimbo huu uliomtoa kisanii …
JUVE YAISAMBARATISHA LAZIO
Baada ya kuanza vibaya katika msimu wa ligi ya Italia, timu ya Juventus ambayo ipo nafasi ya nne, kocha wao anasisitiza hawawezi kuchukua ubingwa kwa matokeo kama hayo wasipofanya juhudi. Kocha wa klabu hiyo Massimiliano Allegri amesisitiza Juventus lazima kuwa wanyenyekevu na kuendelea kuboresha kikosi kama wanahitaji kuwa mabingwa msimu huu kufuatia ushindi walioupata jana dhidi ya Lazio wa bao …
Manchester United Wasaka Saini ya Cavani
Tetesi za usajili nchini uingereza zimeanzia Old Trafford ambapo ripoti kutoka klabuni hapo zinaeleza kuwa Manchester United wanamuhitaji Edinson Cavani katika Usajili wa dirisha dogo. Tayari mazungumzo ya siri baina ya vilabu hivyo viwili tayari yameanza, huku PSG wamewaambia Manchester kuwa Mchezaji huyo Rai wa Uruguayi ataweza kuondoka klabuni hapo kwa dau la £32 million. United miaka ya nyuma waliwahi …
Nikki Wa Pili Akiachia Ngoma Yake Mpya Inayoitwa Baba Swalehe
Msanii Kutoka Kundi La Hip Hop La Weusi Company Nikki Wa Pili Akiachia Ngoma Yake Mpya Inayoitwa Baba Swalehe
KIKAPU ARUSHA YAKABILIWA NA UKATA.
Chama cha Mpira wa Kikapu Mkoa wa Arusha (ARBA), Kipo katika hali ya ukata mkubwa kiasi ambacho kilisababisa kushindwa kwenda kushiriki Michuano ya Taifa yaliyomalizika mwishoni mwa mwezi Novemba Mkoani Morogoro. Mwenyekiti wa chama cha Mpira wa Kikapu Mkoa wa Arusha (ARBA) Barick Kilimba alisema kuwa licha ya chama kuandaa kikosi kwa ajili ya mashindano, walishindwa kufanikisha lengo zikiwa zimesalia …
KIKAPU ARUSHA WATEMBEZA BAKULI.