Rais mstaafu Kikwete azindua Tamasha la ZIFF 2017 Zanzibar, Atunukiwa tuzo

  RAIS Mstaafu wa awamu ya nne katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Jumamosi usiku wa Julai 8,2017, amezindua rasmi tamasha la Kimataifa la Filamu za Nchi za Jahazi (ZIFF), tukio lililofanyika Ngome Kongwe, Mjini Unguja-Zanzibar. Katika tukio hilo, Dkt. Kikwete ambaye alikuwa mgeni rasmi katika tamasha hilo la 20, tokea kuanzishwa kwake miaka …

WASHIRIKI SHINDANO LA BONGO STYLE WAPEWA SEMINA…!

  Bi. Joyce Msigwa ambaye ni Mratibu wa Faru Arts and Sports Development Organization (FASDO) akitoa maelezo kwa washiriki wa  ‘Bongo Style Competition’  2017, kuhusiana na asasi ya FASDO Mwezeshaji Bw. Erick Chrispin akitoa semina kwa washiriki wa Bongo Style namna ya kujiongoza wenyewe katika maswala ya Fedha, Muda na uongozi. Baadhi ya Washiriki wa Bongo Style Competition 2017 wakiwa …

Tamasha la 20, ZIFF Kutoka Kivingine

  UONGOZI na waandaaji wa Tamasha la Kimataifa la Filamu za Nchi za Jahazi (ZIFF) umewaomba wadau wa tasnia ya filamu na sanaa nchini kushiriki katika Tamasha la 20 la mwaka huu kwani limekuja kivingine na kunafursa nyingi ambazo wanaweza kuzitumia katika kukuza tasmia hiyo. Akizungumza jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa ZIFF Daniel Nyalusi ameeleza kuwa kwa mwaka huu …

UMISSETA MKOA WA DAR ES SALAAM YAPAMBA MOTO

  Kaimu Katibu Tawala upande wa Uchumi na Uzalisha Mkoa wa Dar es salaam Ndg Edward Otieno akizungumza wakati wa ufunguzi wa  UMISSETA Mkoa wa Dar es salaam Leo Mei 28, 2017 katika Uwanja wa Uhuru. Baadhi ya wanamichezo kutoka Manispaa za Mkoa wa Dar es salaam wakifatilia mchezo kati ya Ilala na Ubungo wakati wa ufunguzi wa UMISSETA Mkoa …

JKT Makao Makuu Mabingwa Kombe la Ngumi la Mstahiki Meya

  NA CHRISTINA MWAGALA MASHINDANO ya ngumi ya Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita yamemalizika jana na Timu ya JKT Makao Makuu kuibuka mabingwa wa kombe hilo ikiwa ni kwa Mara ya nne mfululizo. Mashindano hayo ambayo yalikuwa na mvuto wa Pekee, yalifika tamati hiyo jana na kufungwa na Mbunge wa jimbo la Temeke Abdala Mtolea …

Timu ya Azania Yawasili Baada ya Kushiriki Mashindano ya Standard Chartered Uingereza

  MASHINDANO ya kombe la Standard Chartered yaliyokuwa yanafanyika nchini Uingereza yamemalizika na kombe hilo kutwaliwa na timu ya nchini Singapore. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati wa kuwasili timu ya Azania iliyowakilsiha nchi za Afrika ya Mashariki, Meneja Uhusiano wa Benki ya Standard Chartered Tanzania, Mariam Sezinga amesema timu ya Azania ilikwenda Uingereza kushindana kwenye mashindano …