Mwanamuziki Roberto Amarula Kutumbuiza Dar na Dodoma

Mwanamuziki na mtangazaji wa redio, Roberto Chindaba Banda ‘maarufu Roberto Amarula kutoka nchini Zambia (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu onyesho lake atakalolifanya leo  katikka fukwe za Escape One Mikocheni jijini Dar es Salaam na kesho ukumbi wa Ngalawa Pub mkoani Dodoma katika Tamasha la Instagram Party Dodoma. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa …

Lil Kim Kuachia Albam Baada ya Mwaka Mpya.

Lil Kim amewambiwa mashabiki wake wakae mkao wa kula kwani yupo njiani kwa kuachia burudani kali mwanzoni mwa januari mwaka ujao. Kim Hajatoa Albam kwa kipindi cha miaka 10 licha ya kuwa na nyimbo nyingi, na sasa anasema atakuja kivingine ili kuwalidhisha mafansi wake waliokuwa wakimsubili kwa ujio wake mpya. Baada ya kufurahia kuwa mama kwa muda wa mwaka mmoja …

Mapunda Atamani Kucheza Soka La Kulipwa.

Kipa Aliyezitumkikia Klabu za Simba na Yanga kwa nyakati tofauti na sasa Azam FC, Ivo Mapunda ameeleza kuwa bado ana kiu ya kucheza soka la kulipwa. Mpunda, amepanga kutumia michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika (Caf) kwa ajili ya kujitangaza kimataifa ili apate nafasi ya kucheza soka la kulipwa. Kipa huyo, alijiunga na Azam FC kwenye usajili wa dirisha dogo …

Angela Kairuki Azinduwa Albamu ya Baraka za Bwana…!

Aliyekuwa Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo na Makazi, Angela Kairuki (kushoto), akizinduwa DVD ya nyimbo za injili iitwayo Sogea wakati wa uzinduzi wa albamu mbili za nyimbo hizo ikiwepo na ya Baraka za Bwana zilizoimbwa na muimbaji Anna Shayo Dar es Salaam juzi. Kulia ni Mwanaharakati Hoyce Temu na mwimbaji na mmiliki wa albam hizo, Anna Shayo. Kairuki …

Minziro Avuruga Kikosi Cha Pamone Fc.

Kocha mkuu wa Timu ya Panone ya jijini Moshi FC Felix Minziro, siku chache mara baada ya kutua katika kikosi hicho kinachoshiriki ligi daraja la kwanza Tanzania Bara (FDL), Tayari ameanza kuunda kikosi upya kitakachoendana na kasi yake. Msemaji wa timu hiyo Cassim Mwinyi alisema kuwa Minziro ameanza kazi yake ya kuunda kikosi kitakachoongeza nguvu katika mzunguko wa Pili wa …

Kim Kardashian na Kanye West Wamepata mtoto wa kiume

Kim Kardashian na Kanye West wamekaribisha mpya kwenye ukoo wa Kardashian jana asubuhi, wanandoa hao walitangaza. Ni mtoto wa pili kwa Kim na Kanye, Kama unakumbuka walifunga ndoa Mei 2014 baada ya miaka kadhaa ya uchumba. Mtoto wao wa kwanza, binti North West, alizaliwa mwezi Juni 2013. Wanandoa bado hawajachagua jina la mtoto lakini kwa mujibu wa vyombo vya habari …