Top 10 Raba za Ukweli za Mwaka 2015

Kuna raba nzuri zimetoka mwaka 2015, zifuatazo ni raba ambazo zimeingia katika top 10 10. Concepts X New Balance 997 ‘Luxury Goods’ 9. Chuck Taylor All-Star II 8. HTM x Nike Kobe X 10 Elite Low 7. Concepts X Asics Gel-Lyte V 8-Ball “Blow” 6. Adidas Tubular 5. Under Armour Curry 1 4. Adidas Yeezy Boost 750 3. Nike Lebron …

Wazee TAFF Wamtaka Rais Atengue Kauli Yake

Wazee wa shirikisho la filamu Tanzania (TAFF) hawajakubaliana na uamuzi wa Rais wa shirikisho hilo Bw. Simon Mwakifwamba kutogombea tena nafasi ya Uraisi katika shirikisho hilo . Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Msemaji wa wazee wa Shirikisho hilo Bw. Ahmed Olotu maarufu kama Mzee Chilo amesema kuwa wao kama Wazee wakongwe katika Shirikisho hilo wamemuomba Rais …

Kanye Naye Yupo Njiani Kuachia Kitu Kipya

Mwanamuziki na Mkali wa Mistari Kanye West amesema haitaji usumbufu kwasasa kutokana na kuwa katika harakati ya kuachia albam mpya ambayo ipo njiani kumalizika. Kanye Anasema asiulizwe chochote kwa kuwa yupo katika hatua ya mwisho ya kumalizia nyimbo ambazo mashabiki wake watakubali kwamba ni mkali katika game. Mwanarapa huyo wa siku nyingi aliandika katika twita yake kuwa atakuwa bize ile …

Kim Awajia Juu Wanaomdisi Kwenye Mtandao

Msanii wa Musiki Kim Kardashian amesema ni laana Wakati Shabiki anapojaribu kuandika maneno ya dharau Kwa kutoheshimu au kujiheshimu Wakati ana wafuasi takriban milioni 40. “huwezi tweet na kufuta chochote bila mtu kutambua. Kile kinachoonekana kuwa kosa linaonekana wasio na hatia na likadumu kwa umri wa miaka miwili wtu wakilijadili” Maneno ya Kim yanafuata baada ya mashabiki wake kuposti meseji …

Droo ya Pili ya Promosheni ‘Jaza Mafuta na Ushinde’ Yachezwa

Meneja wa Kanda ya Dar es Salaam wa Kampuni ya Mafuta ya GAPCO, Rashid Khalfan (kulia) akibonyeza kitufe kwenye kompyuta kuwatafuta washindi wa droo ya pili ya promosheni ya “Jaza Mafuta na Ushinde” inayoendeshwa na Kampuni hiyo na kusimamiwa na Mkaguzi wa Michezo ya kubahatisha nchini, Abdallah Hemedy (kushoto). katikati ni Meneja Masoko wa GAPCO Tanzania, Caroline Kakwezi.