Picha ya Diamond Platinumz na Tiffah Yawa Gumzo Mitandaoni

Picha hii ya mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz akiwa amem-kiss mtoto wake Tiffah yazua mjadala kwenye mtandao wa instagram. Zari the Boss Lady ‘Mama Tiffah’ ndiye aliyeiweka picha hiikwenye ukurasa wake mtandaoni humo na kuandika “Simply adorable Picha ambayo baadhi ya mashabiki walionyeshwa kutopendezewa nayo kwa madai kuwa kiss hilo limevuka mipaka na haipendezi kuwekwa mtandaoni huku wengine wakionekana …

Chriss Brown Achunguzwa Kwa Kumdunda Mwanamke

Polisi katika jiji la Las Vegas, Marekani wanachunguza madai kwamba mwanamuziki mashuhuri wa R&B Chris Brown alimpiga mwanamke Mwishoni mwa wikii. Mwanamke huyo ambaye jina lake halikuwekwa bayana anadai msanii huyo alimgonga usoni alipojaribu kumpiga picha. Kisa hicho kinadaiwa kutokea katika hoteli alimokuwa Chris Brown mapema Jumamosi asubuhi huku Mwanamuziki huyo hajazungumza lolote kuhusiana na madai hayo. Mwaka 2009, Brown …

Navy Kenzo, Diamond Platnumz Watamba MTV

Kundi la Mziki la Navy Kenzo Linaloundwa na Aika na Nahreel wametutoa kimasomaso Watanzania Baada ya Video yao ya Wimbo wa Game Walioshirikiana na Vanessa Mdee Kushika Namba Nne katika Chat ya Video 50 Bora za MTV Base Africa Zilizofanya Vizuri mwaka 2015.. Diamond Platnumz na Wimbo wake wa Nana umeshika namba 5 Katika Chat hizo, Wimbo huo wa Nana …

Waigizaji Waliowika Zaidi Kwa Mafanikio Mwaka 2015

1. Monica Bellucci Katika listi ya ubora wa warembo wa mwaka 2015 Monica Bellucci ambaye alizaliwa Cittadi Castello, nchini Italy, ameshika namba moja ambapo ana umri wa miaka 16 katika fani,na anajilipia ada ya masomo katika chuo kikuu cha Perugia. Muigizaji huyo kutoka Nchini Italia aliondoka Mjini Milan mwaka 1988 na kuanza kazi yake ya uwanamitindo na uigizaji kwa muda …