Huyu Ndiye Mshindi wa Shindano la Bongo Style…!

Mshindi wa Ubunifu mitindo Jocktan Cosmas Maluli A.k.a Makeke(aliyeshika cheti) akiwa katika picha ya pamoja na  waratibu wa shindano hilo kuanzia kushoto ni  Zamda George, Comfort Badaru, Martin Kadinda, Reuben Nabora na Stanley Kamana. Mshindi wa kipengele cha The Best Photographer, Daniel Msirikale (mwenye miwani) akipokea tuzo yake. Mlezi wa FASDO, Reuben Nabora akitoa salamu kutoka kwa mwasisi wa FASDO, …

Waandaaji wa Tuzo ya Oscar Wakumbwa na Balaa

Waandalizi wa Tuzo za Oscar wameahidi kuwa wataimarisha juhudi zao za kuongeza wanachama zaidi wanawake na watu wa kutoka katika jamii za watu wachache kama vile watu weusi ifikapo mwaka 2020. Marekebisho yamefanywa baada ya juma moja la lawama baada ya kukosa washindi weusi walioorodheshwa kutangazwa katika hafla ya shughuli hizo mwezi ujao. Haki ya upigaji kura kwa wanachama pia …

Mariah Carey Apata Mchumba Bilionea wa Australia

Mwanamuziki na nyota wa muziki aina ya pop Mariah Carey amempata mchumba. Imefahamu kwamba mwanamuziki huyo kutoka Marekani ana uchumba na bilionea kutoka Australia James Packer. Wawili hao walionyesha uhusiano wao hadharani Juni mwaka jana baada ya kwenda likizoni pamoja nchini Italia. Bw Packer, 47, ndiye wa nne kwa utajiri Australia, kwa mujibu wa Forbes . Utajiri wake unakadiriwa kuwa …

Wakali wa Mpira wa Kikapu Malawi Kucheza Kirafiki Dar…!

 Mratibu wa Sprite BBall Kitaa Karabani Karabani akiongea na waandishi wa habari jijini Dar-es- Salaam kuhusu mechi za kirafiki zitakazochezwa Jumamosi na Jumapili katika uwanja wa BBK Park na timu kutoka Malawi. Wa kwanza kulia waliokaa ni mkurugenzi wa ufundi chama cha mpira wa kikapu Malawi Obed Nyirongo, wengine ni wachezaji wa timu ya Bricks na Brave Hearts.  Mkurugenzi wa …

Friends Rangers Yaionya Yanga SC

Mwandishi Wetu UONGOZI wa klabu ya Friends Rangers, umesema klabu ya Yanga isitarajie mteremko katika mchezo wao wa kuwania Kombe la FA, utakaofanyika kesho kutwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Ofisa Habari wa klabu hiyo Asha Kigundula, alisema licha ya kujua wanacheza na timu inayoongoza Ligi Kuu, wao wamejipanga kushinda mchezo huo. Kigundula alisema kuwa tayari kikosi …

Bundi Aendelea ‘Kuitafuna’ Miss Tanzania, Kamati Yajitoa…!

KAMATI ya kuratibu Miss Tanzania imejitoa rasmi kusimamia mashindano ya Miss Tanzania kuanzia leo tarehe 21/01/2016. Mwenyekiti wa Kamati hiyo Juma Pinto alisema hayo leo, alipokuwa akiongea na waandishi wa habari jijini Dar-es-Salaam. “Tumekuja kutoa taarifa kwamba, kama tulivyo teuliwa na kampuni ya Lino International Agency, kuandaa, kuendesha na kusimamia mashindano ya Miss Tanzania, kamati yangu imeamua kujitoa kutokana na …