Kampuni ya Jay Z imempeleka Mahakamani Rita Ora

Kampuni ya kurekodi ya Jay Z’s Roc Nation, imemshtaki mwanamuziki Rita Ora ikidai alivunja kandarasi yake mbali na kutotengeza idadi ya albamu alizoahidi. Kesi hiyo imeanzishwa mjini New York wiki sita baada ya Rita kuanzisha mashtaka dhidi ya kampuni hiyo mjini Los Angeles. Rita anadai kwamba kampuni hiyo ina kandarasi haramu naye na kwamba anaomba kutoka. Rita Ora alijiunga na …

Adele Asisitiza Songi lake Jipya la Hello Hajaliruhusu Kupigwa Bila Idhini

Mwanamuziki Muingereza aliyegonga vichwa habari na kukonga nyoyo za mamilioni ya watu kote duniani kwa wimbo wake maararufu ”Hello” Adele amekariri kuwa hajatoa idhini yeyote kwa wimbo wake kutumika katika mikutano ya hadhara ya kisasa nchini Marekani. Kupitia kwa msemaji wake, Adele anasema kuwa japo muaniaji tikiti ya urais wa chama cha Republican Donald Trump amekuwa akitumia wimbo wake uliotamba …

Kundi la Navy Kenzo Waanza Mwaka Kwa Kishindo

Baada ya kutamba Mwaka Jana Africa nzima na wimbo unaoitwa ‘Game’, Kundi la Navy Kenzo limeanza mwaka vizuri baada ya kutoa wimbo mpya pamoja na video yake unaitwa “Kamatia” , Wimbo huo umeshaanza kuwa gumzo sehemu mbali mbali na kuonyeshwa kwenye TV za kimataifa siku mbili tu baada ya kutoka Uzinduzi wa Wimbo Huo ulifanyika Kiaina yake kwa Staili ya …

Kweli Diamond Platnum wa Kimataifa, Azoa Tuzo Nyingine Nchini Uganda

Mwanamziki anaye ipeperusha vizuri Bendera ya Tanzania ambaye kwa sasa anatamba na kibao cha ‘Utanipenda‘ Diamond Platnumz amezidi kuziandika vichwa vya magazeti na mitandao katika ulimwengu wa sanaa baada ya usiku wa jana kuzinyakua tuzo mbili za Hipipo Awards zilizofanyika Uganda. Ushindi alioupata ni Nyimbo bora Afrika Mashariki na Video bora Afrika Mashariki ambazo zote ni kupitia wimbo wa Nana. …

Coleen Rooney: Nitakula Kondo Langu La Nyuma

Mke wa nahodha wa Manchester United Wayne Rooney, Coleen Rooney, ametangaza kwamba atakula kondo lake la nyuma baada ya kuzaliwa kwa mwana wao wa tatu aliyepewa jina Kit. Kondo hilo la nyuma, limetengenezwa na kuwa vidonge na anasema amekabidhiwa vikiwa vimewekwa kwenye jagi. Vidonge hivyo vimeandaliwa na “mtaalamu wa kugeuza kondo la nyuma kuwa vidonge”, anayesema kumeza vidonge hivyo humsaidia …

Michael Jackson Apata Mrithi Wa Kazi Zake

Muigizaji wa filamu kutoka nchini Uingereza Joseph Fiennes, amekiri kuwa alishangazwa na kitendo cha kumuigiza mfalme wa muziki aina ya POP, Michael Jackson katika mchezo wa runinga ,baada ya kukosekana kwa muigizaji mweupe. Muigizaji huyu atakayeigiza kama mwanamuziki katika vichekesho vinavyorushwa na mtandao wa ”sky network” unaohusu safari ya barabarani iliyofanywa na Michael Jackson na marafiki zake kina Marlon,Brando na …