Ijue bendi ya ‘FFU’ ya nchini Ujerumani

“The Golden Voice of East Africa”  BENDI maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band, ni bendi ya kwanza ya kiafrika iliyojiwekea nafasi ya pekee katika nyoyo za washabiki uko ughaibuni. Bendi hiyo ambayo inatajwa kuwa ndio bendi ya kwanza ya kiafrika kutumia muziki wake kutoka uswahilini kama daraja la kuwafikia washabiki wake katika kona zote duniani, pia imetajwa na …

Mwajabu Juma aibuka Miss Kurasini

Miss Kurasini Mwajabu Juma akiwapungia mkono mashabiki wake mara baada ya kutangazwa mshindi katika shindano la Miss Kurasini lililofanyika jana kwenye Ukumbi wa Equator Gril Mtoni kwa Azizi Ali, jijini Dar es salaam, kushoto ni mshindi wa pili Naifat Ali na kulia ni mshindi wa tatu Priscar Steven. Shindano la Miss Tanzania mwaka huu linadhaminiwa na kampuni ya simu za …

Uzinduzi wa Serengeti Fiesta Dar es Salaam

  Tayari Serengeti Fiesta imeshazinduliwa katika mikoa minne ambapo uzinduzi huo umefanyika kwa pamoja katika mikoa ya Dar es salaam, Mwanza, Dodoma na Arusha, mashabiki wote kaeni mkao wa kula, kwani wakati ratiba ya maonesho ya Serengeti Fiesta itakapoanza nenda kajionee mwenyewe na si kusimuliwa. Pichani vijana waliovalia fulana maalumu zilizoandikwa Serengeti Fiesta Miaka 10 wakicheza katika hafla ya uzinduzi huo …

Dk Shein amzika msanii Maulid Mohammed ‘Machaprala”

Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, akishiriki na waumini wengine wa dini ya Kiislamu kusalia Jeneza la marehemu msanii Maulid Mohammed ‘Machaprala’, katika msikiti Nambar, Kisiwandui Mjini Zanzibar. (Picha na mdau Ramadhan Othman, Ikulu).

Ni huzuni nchini

Baadhi ya Wanamuziki wa Kundi la 5 Star waliojeruhiwa katika ajali iliyotokea juzi maeneo ya Mikumi Morogoro, wakiwa kwenye Ukumbi wa Ikweta Gril, baada ya kuwasili wakitokea Hospitali ya Morogoro jana. Picha na Mpigapicha Wetu NI HUZUNI, ndivyo unavyoweza kuzungumzia ajali mbaya iliyochukua maisha ya wanamuziki 13 wa kundi la taarabu la Five Stars. Ajali hiyo mbaya na pengine kubwa …