FFU wa Ngoma Africa Band katika mshike mshike wa usiku usio kwisha!

Heidelberg City, Ujerumani FFU wa Ngoma Africa band wakiwa kibaruani katika gwaride la usiku usio kwisha! Mjini Heidelberg,Ujerumani,katika onyesho lililofanyika usiku wa jumamosi ya 25.06.2011, ambalo lilikuwa na shamra shamra na kuwadatisha akili wa shabiki, kila mshabiki alidata kiaina yake..kutokana na midundo ya kikosi kazi hiko cha Ngoma Africa band aka FFU. Mlindimo wa mziki wa bendi hiyo una wanasa …

Ali Kiba apata ajali

Mororogo MWIMBAJI Ali Kiba na wacheza shoo wake wamenusurika kufa baada ya kupata ajali mbaya katika eneo la Mikumi,wakitokea Mbeya kuelekeaJijini Dar es salaam, kwenye barabara kuu ya Morogoro-Iringa ambapo saba wamejeruhiwa na watatu kati yao kulazwa katika hospitali ya Rufaa Mkoa wa Morogoro kwa matibabu. Mwandishi wa habari hizi alishuhudia majeruhi hao wakiwa wamelazwa wadi namba moja ya hospitali …

“Anti-Corruption Squard” wametua ndani ya kambi FFU- Ughaibuni !

Lile song lililojipatia umaarufu katika kila kona “Rushwa ni Adui wa Haki” kutoka kwao Ngoma Africa Band aka FFU yenye maskani yake Ujerumani,sasa wimbo huo umetua na unasikika katika kambi ya FFU www.ngoma-africa.com .song hilo lenye ujumbe muhim kwa jamii ni utunzi wake kiongozi wa bendi hiyo Kamanda Ras Makunja, wa FFU ughaibuni. wimbo huo wenye mistari mitatu mitamu na …