Dogo Aangukiwa Zali Kutoka Kwa Kanye West

Kijana mmoja nchini nchini Marekani anatarajia zawadi kutoka kwa mwanamuziki Kanye West baada yake kufanikiwa kujibu swali lake. Dante Holley, 20, alifanikiwa kueleza kwa kirefu herufi TLOP zinamaaana gani kwenye jina la albamu ya mwanamuziki huyo ulio ambalo limetolewa kutoka kwa wimbo wake mpya kwa jina No More Parties in LA. Kijana huyo Atapokea tiketi za kuhudhuria maonyesho ya mavazi …

Siku ya Wapendanao Inavyodhalisha Mabilioni ya Fedha Marekani

SIKU ya Wapendao si Sikuu Rasmi nchini Marekani. Watu huenda kazini kama kawaida, hata hivyo kama zilivyo Siku Kuu nyingi nchini humu, nayo pia imekumbwa na kimbunga cha biashara tangu pale kampuni ya Hallmark ilipoanzisha kuzalisha kadi zao kwa wingi. Hii ni siku ya pili kwa wingi wa mauzo katika mwaka baada ya siku ya Christmas. Inakadiriwa kuwa mauzo ya …

Romantic Tanzanian Destinations Showcased by Jovago

THE country’s leading hotel booking website’s recent Valentine’s Day Instagram competition has generated huge public interest in the array of romantic getaway options in Tanzania. Jovago.com, the Africa-wide digital platform that promotes thousands of hotel options, used the special day to promote the great value options for couples seeking a special short holiday or weekend break. The competition, which generated …

Waziri Nape Mgeni Rasmi Kilimanjaro Marathoni

Na Frank Shija, WHUSM WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mashindano ya Kilimanjaro Marathoni yatakayofanyika tarehe 28 Februari kwenye viwanja vya Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi. Hayo yamebainisha na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Executive Solution ambayo ndio waratibu wa mbio hizo Bw. Aggrey Marealle walipotembelea ofisini kwa Waziri leo jijini …

StarTimes Wachezesha Droo ya Kwanza Kumtafuta Mshindi

 Mtangazaji wa luninga na redio wa Clouds Media, Bw. Shaffih Dauda (katikati), ambaye pia ni balozi wa kampuni ya StarTimes Tanzania kwa upande wa chaneli na vipindi vya michezo, akichezesha droo ya kwanza ya bahati nasibu ya kumpata mshindi wa safari ya kujishindia tiketi kutazama Ligi ya Bundesliga ‘Live’ Ujerumani iliyochezeshwa mwishoni mwa wiki katika ofisi za kampuni hiyo jijini …

Mwanamuziki Maurice White Afariki Dunia Akiwa na Miaka Sabini na Nne

Mwanamuziki nyota wa nyimbo za mtindo wa Soul Maurice White, aliyeanzisha kundi maarufu la wanamuziki la Earth, Wind and Fire miaka ya sitini amefariki dunia. Alijulikana kwa vibao kama vile September, Boogie Wonderland, Shining Star na After the Love has Gone. Amefariki akiwa na umri wa miaka 74 akiwa usingizini Los Angeles, kakake Verdine White amesema. Kundi hilo lilimshirikisha kakake …