Mkuu wa Wilaya ya Sikonge, Peres Magiri, akizungumza na maofisa ugani wa wilaya hiyo wakati akifungua mafunzo ya siku moja kwa maofisa hayo yaliyoandaliwa na Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kupitia Jukwaa la Bioteknolojia kwa maendeleo ya kilimo nchini (OFAB), wilayani humo mkoani Tabora leo. Kutoka kushoto ni Mtafiti Bestina Daniel kutoka COSTECH, Ofisa Kilimo na Umwagiliaji wa wilaya …
TANZANIA YASHIRIKI MASHINDANO YA ROBOTI MAREKANI
Timu hiyo iliongozwa na wakufunzi wawili, Bi. Mkufu Shaban Tindi na Bi. Carolyne Eryarisiima. Tarehe 19 Julai, 2017 Timu hiyo ilitembelea Ofisi za Ubalozi wa Tanzaniani Washington, DC nchini Marekani kwa ajili ya kusalimia na kujitambulisha.
Matukio Tamasha la Castle Lite Unlocks, Leaders
Msanii Vanessa Mdee akiwa jukwaani akiwakonga mashabiki. Msanii Casper Nyovest akiwa jukwaani akiwakonga mashabiki. Msanii toka Marekani FUTURE akiwa jukwaani kwenye tamasha kubwa la castle lite unlocks usiku wa kuamkia leo. .Msanii toka Afrika kusini Casper Nyovest akifanya mahojiano na waandishi wa habari wakiongozwa na Taji Liundi pembeni yake usiku wa kuamkia leo kwenye tamasha kubwa la …
Timbulo awataka wasanii wasimlilie
Mwanamuziki anayetamba na ngoma ya ‘Mshumaa’, Timbulo amewataka wasanii wasipate presha kipindi hiki ambacho yeye anaachia ngoma mara kwa mara kwani alikaa nje ya ‘game’ muda mrefu hivyo sasa anafanya kazi kwa bidii ili kwenda sawa na waliopo sokoni. Akizungumza kwenye 5Selekt ya EATV , Timbulo amesema kwamba yeye ni mfuasi wa muda hivyo kipindi alichokuwa amekaa kimya wasanii …
NMB yadhamini mashindano ya Golf Gymkhana Dar
BENKI ya NMB imedhamini mashindano ya mchezo wa Golf yaliyoandaliwa na Club ya Gymkhana ya jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 100 tangu kuanzishwa kwa club hiyo. Michuano hiyo mikali na ya kipekee iliyopambanisha wachezaji wa mchezo wa golf kutoka club mbalimbali ilifanyika kwa siku mbili jijini Dar es Salaam na washindi mbalimbali wa …
Benki ya NMB Yafanikisha Tamasha la ‘Mtoto Day Out’
BANKI ya NMB imefanikisha kufanyika kwa Tamasha maalum la watoto ‘Mtoto Day Out’ kwa kuwa mdhamini mkuu wa Tamasha hilo. Tamasha hilo ambalo limekutanisha watoto wa maeneo mbalimbali ya jijini Dar es Salaam ambapo pamoja na kufurahi pia wamepata elimu kuhusu umuhimu wa kutunza fedha. Akizungumza na MO Blog kuhusu tamasha hilo, Mratibu wa Elimu ya Fedha wa benki ya …