KUNDI la Ngoma Africa Band aka ‘FFU’ Ughaibuni, linatarajiwa kuendelea kumwaga burudani zake Ulaya na safari hii ni kwa mashabiki wa mjini Tuttlingen, show itakayofanyika Jumamosi ya Agosti 27, 2011 Bendi hiyo maarufu kwa muziki wa dansi barani Ulaya yenye maskani yake nchini Ujerumani, inatarajiwa kutumbuiza katika onyesho lingine kubwa la Afrika Festival, mjini Tuttlingen, Ujerumani ya Kusini, Kamanda Ras …
Mwanamitindo, Asya Idarus, ndani ya jiji la North Carolina kwa maonyesho ya mavazi,usiku wa UTNC gala Night.
September 3, siku ambayo watanzania wa North Carolina watakuwa kwenye shamra shamra za siku nzima. Unashauri wa uitengee ngoma yake siku hii ambayo itaanza asubuhi mpaka usiku wa manane. Asubuhi 9am mpaka 1pm; tutakuwa na brunch itakayo fanyika La Quinte hotel. Ambayo itahudhuriwa na balozi na maofisa mbalimbali. Jioni 5pm utakuwa ni usiku wa gala ambao una mambo mengi ndani …
‘FFU’ Ngoma Africa Band kutingisha Jukwaa la Afrika Festival, Ujerumani Agosti 20
BENDI maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya “Ngoma Africa Band” aka FFU, wanatalajia kutumbuiza katika onesho lingine kubwa la wazi mjini Aschweiler, nchini Ujerumani. Onesho hilo la aina yake litafanyika Jumamosi ya Agosti 20, 2011 majira ya saa 12.00 jioni. Mapromota wa muziki huko ughaibuni wameamua kufanya kweli na bendi hiyo maarufu kwa kuipangia ratiba ya maonesho bila kupumua! …
Jukwaa la FFU lavamiwa na mashabiki!
FRANKFURT, UJERUMANI JUMAMOSI iliyopita mambo yalikuwa ni moto, ‘asiye na mwana abebe jiwe’, katika tamasha la Afro-karibik, Robstock park, Frankfurt, nchini Ujerumani. Pata shika la nguo kuchaika kati ya ffu wa ngoma africa band na washabiki sugu mjini Frankfurt, katika onesho ambalo washabiki walionesha ubabe dhidi ya walinzi na kulikwea jukwaa baada ya kudatishwa na mdundo wa Ngoma Africa band …