Ngoma Africa band yafunika Steinhude meer, Hannover!
WAKALI wa muziki wa dansi barani Ulaya ‘Ngoma Africa Band aka FFU wamevunja rekodi kwa kulitingisha onesho lingine kubwa la Afrika Markt fest, lililofanyika Jumamosi ya Septemba 3, 2011 mjini Steinhude am meer, jirani na Hannover city, Ujerumani. Ngoma Africa Band na muziki wao wa dansi wamekuwa na tabia za kuwadatisha akili washabiki katika maonesho mengi barani Ulaya, Bendi hiyo …
Gwaride la ‘FFU’ kuendelea Markt, Steinhude!
FFU wa Ngoma Africa Band wanatarajia kutingisha Jukwaa la Afrika Markt, Steinhude, Ujerumani. Bendi hiyo maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya (Ngoma Africa Band) aka FFU, wamepanga kutumbuiza katika onesho jingine kubwa la wazi mjini Steinhude am Meer, jirani na Hannover, nchini Ujerumani Jumamosi ya Septemba 3, 2011 saa 12.00 jioni. Mapromota wa muziki huko ughaibuni wamehamua kuifanyia kweli …
Twanga Pepeta yakonga mashabiki Mango Garden
BENDI maarufu ya muziki wa dansi ya Twanga Pepeta jana iliwaburudisha wapenzi na mashabiki wa bendi hiyo katika onesho lililofanyika Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni jijini Dar es Salaam. Ikiongozwa na waimbaji wake nyota na maarufu kama Chaz Baba, Sarehe Kupaza, Dogo Rama, pamoja na Muumini Mwinjuma aliyejiunga na bendi hiyo hivi karibuni-walikuwa ni kivutio kikubwa katika onesho hilo la …
Wakali wa taarab watimkia kundi jipya la ‘T’ Moto ‘Real Madrid’
*Mtoto wa Salmini afanya kufuru, abomoa makundi ya jahazi na five star *Asema kundi hilo ni kama ‘Real Madrid’ *Kutambulishwa na Aliyeniumba Hajanikosea MTOTO wa Rais Mstaafu wa Zanzibar, Amin Salmin ‘Mourinho’, amenzisha kundi jipya la muziki wa Taarab linalojulikana kwa jina la T Moto Morden Taarab ‘Real Madrid’ linaloundwa na wasanii mahiri waliopata kutamba katika makundi ya Jahazi Morden …