Career highlights – Jay Jay Okocha

IN football, there are no prizes for second place. As it will be for the contestants in the GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE™, it’s all about working hard, aiming as high as possible, and most importantly, getting out there and giving it your best. As the saying goes, if you don’t shoot you won’t score – and when I look back over …

Mpigie Geofrey Mwakibete kura ya ‘Mpiga Picha Bora wa Mitindo’

MPENZI mdau na msomaji wa mtandao huu, napenda kukufahamisha kuwa Geofrey Mwakibete wa MO BLOG amebahatika kuchaguliwa kuwa miongoni mwa washiriki wa shindano la SWAHILI FASHION WEEK AWARDS katika kundi la Wapiga picha bora wa Mitindo. Bila wewe asingefanikiwa kupata nafasi hii hivyo tunaomba tuendelee kumpa sapoti na hamasa kwa kumpigia kura GEOFREY MWAKIBETE kupitia mtandao huu;- http://www.swahilifashionweekawards.blogspot.com Asanteni kwa …

Arusha yang’ara ‘Vodacom Mwanza Open Cycle Challenge 2011’

Na Mwandishi Wetu, Mwanza MKOA wa Arusha jana umeng’ara kwenye mashindano ya mbio za wazi za baiskeli za Vodacom Mwanza (Open Cycle Challenge-2011) baada ya Richard Laizer wa mkoa huo kuibuka mshindi na kuwashinda washiriki zaidi 400 walijitokeza kushiriki kwenye mashindano hayo kwa upande wa wanaume. Kwa ushindi huo Laizer amejinyakulia sh. milioni 1,500,000 na kuvikwa taji lililokuwa likishikiliwa na …

Mapacha 3, Msondo kuwasindikiza T-Moto kwenye uzinduzi

Na Mwandishi Wetu BENDI inayoendelea kufanya vizuri katika jukwaa la muziki wa dansi nchini, Mapacha Watatu na Bendi Kongwe nchini, Msondo Ngoma zimeandaa shoo maalum kwa ajili ya kuwasindikiza wenzao kundi jipya la Taarab la Tanzania Modern Taab (T-Moto) ‘Real Madrid’ katika uzinduzi wa kundi hilo utakaofanyika Oktoba 28 katika Ukumbi wa Diamond Jubilee. Akizungumza na Sufianimafoto, Mkurugenzi wa kundi …