Guinness Football Challenge results!

FREDY Jordan Ngulwa and George Joel Lukuba from Dar es Salaam, Tanzania, topped the GUINNESSĀ® FOOTBALL CHALLENGE leader board for the second time last night as they became the first contestants to do the double. Fighting off tough competition from the other teams from Kenya, Tanzania and Uganda, the dynamic duo showed even more skill and knowledge and increased their …

Bingwa wa zamani wa ngumi uzito wa juu duniani afariki dunia

Ā  BINGWA wa zamani wa ngumi uzito wa juu duniani Joe Frazier amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi saratani ya ini, familia yake imesema. Taarifa zinazohusiana na masuala ya maswumbwi zinasema Frazier aliyejulikana kwa jina la Smokin’ Joe – alikuwa akitibiwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi mjini Philadelphia baada ya kugunduliwa anaugua saratani wiki kadha zilizopita. Bingwa huyo …

Bingwa wa Vodacom Cycle Challenge 2011 Tanga apatikana

HASSAN Shariff amefanikiwa kutwaa ubingwa wa mashindano ya mbio za baiskeli ya “Vodacom Tanga Cycle Challenge 2011” baada ya kumaliza mwendo wa umbali wa kilomita 140 akiwa mbele ya washiriki wengine. Mashindano hayo yaliyoandaliwa na Kampuni ya Wakati Sports Promoter na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania yalishirikisha makundi matatu ambayo ni ya baiskeli zilizotengenezwa maalumu kwa michuano ambapo washiriki walipita Wilaya …

Ngoma Africa Band na Nyimbo za miaka 50 ya Uhuru

BENDI maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya “Ngoma Africa band” aka FFU, yanye makao yake nchini Ujerumani, wameachia hewani CD mpya yenye nyimbo za miaka 50 ya Uhuru. Nyimbo zilizomo katika CD hiyo ni utunzi na uimbaji wake kiongozi wa bendi hiyo Kamanda Ras Makunja akiimba kwa uhakika zimetonya kuwa nyimbo hizo zimetua pia katika blog ya Michuzi. Vituo …

Shopping Festival to be held during Swahili Fashion Week 2011

If you would like to buy and sell anything from Swahili Fashion week 2011, you can definetily get It from the Shopping Festival during and After the event, SO IF YOUR INTERESTED TO HAVE PLACE TO SELL ANYTHING DURING THE SWAHILI FASHION WEEK EVENT PLEASE BOOK AND LEASE YOUR PLACE NOW. For more information please call: Hamis K Omary 0719252628 …

Mama Zakhi Bilal mgeni rasmi uzinduzi wa T-Moto

MKE wa Makamu wa Rais wa Tanzania, Mama Zakhia Bilal, anatarajia kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi rasmi wa kundi jipya la muziki wa taarab na albam ya kwanza ya kundi hilo (Tanzania Modern Taarab ‘T-Moto’ au Real Madrid), ambalo kwa sasa limekuwa gumzo kwa mashabiki wa muziki huo nchini. Akizungumza na mwandishi wa habari, Mkurugenzi wa kundi hilo, Amini Salmini, …