Man U haina jipya kwa Newcastle
Manchester United imeshindwa kuutumia vyema uwanja wake wa nyumbani baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 na Newcastle United. Sare hiyo imeifanya Newcastle iliyo katika nafasi ya tatu kuwa na pointi moja tu nyuma ya United iliyo nafasi ya pili nyuma ya United. Goli la Manchester United limefungwa na Javier Hernandez, huku goli ya Newcastle likifungwa na Demba Ba kwa mkwaju …
Watanzania Ujerumani kushangweka na miaka 50 ya Uhuru!
Chereko chereko zitaanzia München hadi Berlin BENDI ya Ngoma Africa a.k.a FFU Desemba 10, 2011 inatarajia kutoa burudani ya kukata na soka kwa Watanzania wa Umoja wa Tanzania Ujerumani (UTU) kuzinduliwa rasmi! Watanzania waishio Ujerumani wameanza shamra shamra za kusherekea miaka 50 ya uhuru wa Tanzania bara, kwa kasi kubwa inayotingisha kila kona, sherehe hizo zinaanzia mjini München siku ya …
Wasanii kutoa burudani pambano la Maugo na Toll
Na Mwandishi Wetu WASANII mbalimbali nchini wanatarajiwa kutoa burudani katika pambano la mchezo wa ngumi lisilo na ubingwa litakalowakutanisha bondia, Mada Maugo na mpinzani wake Suleimani Saidi ‘Toll’ Desemba 18 mwaka huu katika Ukumbi wa Mzalendo Pub Kijitonyama Jijini Dar es Salaam. Akizungumza na burudani Rais wa shirikisho la ngumi za kulipwa nchini (PST), Emanuel Mlundwa alisema, maandalizi kwa ajili …
Watanzania waishio Ujerumani waanza sherehe za miaka 50 ya Uhuru
Shangwe kuanzia Munchen hadi Berlin WATANZANIA waishio nchini Ujerumani wanaanza kusherehekea miaka 50 ya uhuru wa Tanzania Bara kwa vishindo na shangwe zisizo na mfano. Mambo yataanza siku ya Jumamosi, Desemba 3 mwaka huu ambapo Ngoma Africa Band itafanya onesho lake kuzindua mjini München, mtaa wa Siebold Str, 11, majira ya saa 10 alhasiri. Na usiku bendi hiyo maarufu ya …