Na Janeth Mushi, Arusha MWIMBAJI maarufu wa miondoko ya bongo fleva kwa ‘tune’ na staili ya Kimasai, Abel Rusheraa Motika, almaarufu – Mr Ebbo aliefariki dunia jana saa nne usiku mkoani Arusha anatarajiwa kuzikwa Jumatatu kwa wazazi wake eneo la Masai Camp. Akizungumza na gazeti hili leo mjini hapa Alois Loshila Motika ambaye ni kaka mkubwa wa Mr. Ebbo amesema …
Ugandan team do the double and walk away with ‘best of the best’ crown
LAST night’s Guinness Football Challenge had the audience on the edge of their seats as four of the best teams from the series returned to go head to head, in the hope of being crowned Champion of Champions. In Red were Joseph and Fenton from Kenya, winners of episode 6; the Blue team were Fredy Jordan and George from Tanzania …
Mr Ebbo afariki dunia
MWIMBAJI nguli Tanzania aliyeibuka na staili ya bongofleva kwa ‘tune’ na staili ya Kimasai, Abel Rusheraa Motika, almaarufu – Mr Ebbo amefariki dunia. Habari za uhakika zilizolifikia gazeti hili alfajiri ya leo zinaeleza kwa Mr. Ebbo alifariki kufuatia kusumbuliwa na ugonjwa wa kichomi kwa muda mrefu. Amefariki akiwa nyumbani kwa familia yake, maeneo ya Usa River, Arusha. Mwanamuziki huyo alifahamika …
Ngoma Africa Band kuvamia Munchen Dec 3, 2011
CD ya “50 Uhuru Anniversary” inatamba redioni Na Mwandishi Wetu WATANZANIA waishio Ujerumani wameanza shamra shamra za kusherekea Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara, kwa kasi kubwa inayotingisha kila kona jijini hapa. Sherehe hizo zinatarajia kuanzia Mjini München Desemba 3, 2011 ambapo kutakuwa na maonesho mbalimbali ya bidhaa za Tanzania, mavazi na mdahalo rasmi huku usiku kukiwa na burudani …
Liverpool na Manchester City hakuna mbabe.
Bao la kujifunga la Joleon Lescott lilifuta jitihada za awali za Vincent Kompany kufunga bao wakati Manchester City walipoongeza wigo wa pointi hadi tano wakiendelea kusalia kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Kandanda ya England. Liverpool yatoka sare na Manchester City bao 1-1 Mario Balotelli alitolewa nje kwa kadi nyekundu baada ya kuoneshwa kadi mbili za manjano katika kipindi …